Category: NEWS
-
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee…
-
Siku moja Esau akaja kutoka nyikani, naye alikuwa amechoka sana,akamwambia Yakobo, Tafadhali,naomba chakula nile kwa kuwa ninazimia mimi.Yakobo akamwambia Kwanza niuzie leo haki yako ya…
-
Watu hutoa kafara ili kupata nguvu za kiroho,na kwa njia hiyo kweli wanapata nguvu sawa sawa na neno kutoka Waebrania 9;13 lakini neno linasema anaewafanyia…
-
Wakati Meshaki,Shadrack na Abednego wanatupwa katika tanuru la Moto sio kwamba ule moto ulikua hauogopeshi ulikua unatisha sana lakini walikua wanamuamini Mungu wakijua atawaokoa,wakati Daniel…
-
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.Neno hili linatafsiriwa tofauti sana,lakini maana ya neno hilo ni hii…
-
Mungu alipoumba ulimwengu alichagua watu wake na kuwapa urithi.Watu hao ndio hupigwa vita na njia yao kuwa ngumu sana kufanikiwa.Watu hao ni wewe unae waza…
-
Toka ulipo zaliwa Mungu alikuandalia maisha yenye baraka na mafanikio.Baraka zako zimefichwa gizani.Kuna mtu kazificha gizani na ndio maana neno linasema nitakupa hazina zilizofichwa gizani.Ukisimama…
-
It’s desire of any woman to carry her on baby,but sometime it become impossible and the waiting is long, especially for married women who are…
-
The richest man in China Jack ma said ” I FAILED 3 times at University. I applied 30 times to get a job but I’ve…
-
I know we live in a time of equality, but equality in a relationship doesn’t mean dividing everything down the middle. No couple is made…
