Category: NEWS
-
It is always good to remind the enemy not to rejoice during your moment of tribulations “Hey enemy, don’t rejoice just yet… don’t throw the…
-
Shetani alimkosanisha mwanadamu na Mungu alijua Mungu yuko tayari kufanya mambo makubwa juu ya mtu ampendaye,yuko tayari kumpa chochote atakacho omba.shetani alimwambia Eva utawala wa…
-
Mungu alimchagua Musa aende kuwaokoa wana wa Israel kutoka utumwani lakini Musa alikua na visingizio vingi; akamwambia Mungu mimi sijui kuongea,(Musa alikua na kigugumizi) pia…
-
Maneno yatokayo kwenye kinywa chako yana mchango mkubwa wa kubadili maisha yako,kinywa kinaweza kuumba na kinywa kinaweza kuua,Mungu alifanya uumbaji mkubwa kwa kutumia Maneno alisema…
-
Kuna njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuongea na watu,ndoto ni moja kati ya njia zake,unaweza pokea ujumbe kupitia ndoto,Mungu hutumia ndoto kukuonesha jambo fulani ukiota…
-
Neno linasema Suleimani alikua na wake 700 na masuria 300 lakini wake hao walimfanya amuache Mungu wa baba yake Daudi Mungu aishiye milele na kufwata…
-
Basi Mtu mmoja alitembelewa na rafiki yake usiku wa manane,rafiki huyo alikua na njaa alitaji usaidizi.Mtu huyo akatoka na kwenda kumgongea mlango rafiki yake jirani…
-
Baada ya Gharika Nuhu akalima shamba la mizabibu,siku moja akanywa mzabibu akalewa,akawa uchi Shem na Yefeti wakamfunika nguo. Neno hili lina maana na ni ufunuo…
-
Pepo mchafu amtokapo mtu hukimbilia mahali pasipo na maji akitafuta mahali pa kupumzika. Neno hili lina maana fulani ambayo itakuwa msaada kwako kama ukielewa vyema…
-
Neno la Mungu usilisome kama hadithi,unapo omba lazima ujue una muomba nani na ananguvu ipi. Ukikariri neno la Mungu huwezi pokea ni kama naamani alikariri…
