Na Cantona Joseph
AfrikaLeoMchana-Msaada
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Kenya na Tanzania ni miongoni mwa mataifa ya Afrika yanayopokea misaada mikubwa kutoka mataifa tajiri na mashirika ya kimataifa, hii ikionyesha utegemezi wa fedha za misaada kuendesha shughuli za serikali, hayo ni kwa mujibu wa ripoti ya Mo Ibrahim Foundation. Hii ni orodha ya baadhi ya nchi za Afrika Mashariki zinazopokea misaada mikubwa zaidi.
TheHeartBeatofAfrica
All Rights Reserved ©Cantona Group Ltd||2024
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.