Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
Na Cantona Joseph Imechapishwa: March 24, 2026 09:32 (EAT)



Wataliano wamekataa mageuzi ya Waziri Mkuu Giorgio Meloni ya mfumo wa sheria katika kura ya maoni.Picha: Stefano Rellandini/AFP
Wataliano wamesababisha pigo kubwa la kwanza dhidi ya Waziri Mkuu Giorgia Meloni kwa kukataa mageuzi yake ya mfumo wa sheria katika kura ya maoni. Meloni hata hivyo amesisitiza kuwa haendi kokote.
Huku karibu kura zote zikiwa zimehesabiwa, matokeo ya kura ya maoni ya kikatiba iliyopigwa Jumapili yanaonesha upande wa “Hapana” unaopinga mageuzi hayo una asilimia 53.5, na wa “Ndiyo” ukiwa na asilimia 46.5. Karibu asilimia 59 ya wapiga kura walijitokeza ikiwa ni idadi kubwa zaidi kuliko ilivyotarajiwa. Waziri Mkuu Meloni hata hivyo amesisitiza kuwa haendi kokote. Amesema Wataliano wamezungumza na kwamba uamuzi wao utaheshimiwa, akiongeza kuwa hilo halitabadilisha dhamira yao ya kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwa manufaa ya taifa na kuheshimu jukumu walilopewa na umma.
Wakati wa kampeni za kura ya maoni, alisema mara kwa mara kwamba kura hiyo — ambayo ilihusu jukumu na usimamizi wa majaji na waendesha mashtaka — haikuhusu uongozi wake mwenyewe. Lakini alifanya kampeni kali ya kuyapigia debe mapendekezo hayo, pamoja na washirika wake wa muungano katika serikali ya mrengo wa kulia, huku vyama vya upinzani vikipigania kura ya “Hapana”.
Vita ya Iran yaiongezea Kenya Airways abiria

Shirika la ndege la Kenya Airways limekuwa likifanya safari zake katika maeneo mbali mbali ya duniaPicha: picture-alliance/dpa
Shirika la ndege la Kenya limesema abiria wanaotaka kusafiri kwa ndege hiyo wameongezeka kufuatia baadhi ya mashirika mengi ya eneo la Mashariki ya kati kusitisha safari zao
Shirika la ndege la Kenya, limesema mahitaji ya abiria ya kusafiri na ndege hiyo yameongezeka kufuatia athari zilizosababishwa na vita mashariki ya kati.
Ongezeko hilo la abiria limeripotiwa zaidi katika kanda ya Ulaya Marekani na Asia.
Vita vya Marekani na Israel dhidi ya Iran vimevuruga shughuli katika sekta ya usafiri wa anga na kusababisha baadhi ya mashirika ya ndege kuongeza bei pamoja na kubadilisha ratiba zao kupunguza vituo vya kusimama katika viwanja vya ndege vya eneo la Mashariki ya kati au wakati mwingine kufuta kabisa safari zao.
Mivutano inazidi kushuhudiwa katika Jumuiya ya EAC
Shirika la Kenya Airways limesema ongezeko la wateja wake limefikia asilimia 100 kutoka asilimia 70 mwezi Januari.
afghanistan, africa, albania, algeria, America, american-samoa, andorra, angola, anguilla, antarctica, antigua-and-barbuda, argentina, armenia, aruba, arusha, australia, austria, azerbaijan, bahamas, bahrain, bangladesh, barbados, belarus, Belgium, belize, benin, bermuda, bhutan, bolivia, bosnia-and-herzegovina, botswana, Boukinafaso, brazil, brunei-darussalam, bulgaria, burkina-faso, burma, burundi, california, cambodia, cameroon, canada, cape-verde, cayman-islands, central-african-republic, Chad, chicago, chile, china, christmas-island, cocos-keeling-islands, colombia, comoros, congo, cook-islands, costa-rica, cote-divoire-ivory-coast, Croatia, cuba, cyprus, czech-republic, darsalaam, democratic-peoples-rep-north-korea, democratic-republic-of-the-congo-kinshasa, denmark, djibouti, dodoma, dominica, dominican-republic, dr-congo, dubai, east-timor-timor-leste, ecuador, egypt, egypty, el-salvador, england, equatorial-guinea, equitorial-guinea, eritrea, estonia, eswatini, ethiopia, falkland-islands, faroe-islands, federal-states-of-moldova, fiji, finland, Florida, france, french-guiana, french-polynesia, french-southern-territories, gabon, gaza, georgia, germany, ghana, gibraltar, goma, Greece, greenland, grenada, guadeloupe, guam, guatemala, guinea, guinea-bissau, guyana, habari, haiti, holy-see, honduras, hong-kong, houston, hungary, iceland, india, indonesia, Iowa, iran, iran-islamic-republic-of, iraq, ireland, israel, italia, italy, ivory-coast, jamaica, japan, jordan, karatu, kazakhstan, kilimanjaro, kinshasa, kiribati, kiswahili, korea, kosovo, kuwait, kyrgyzstan, lao, latvia-lebanon-lesotho-liberia-libya-liechtenstein-lithuania-luxembourg, Lebanon, liberia, macau, madagascar, malawi, malaysia-maldives, Mali, malta, marshall-islands-martinique-mauritania-mauritius, massechutes, mayotte, mazingira, mbeya, meru, mexico, miami, micronesia, monaco-mongolia-montenegro, montserrat, morocco, mozambique-myanmar, mtwara, mwanza, namibia, nauru, nepal, netherlands, netherlands-antilles, nevada, new-caledonia, new-zealand, newyork, nicaragua, niger, nigeria, niue, north-macedonia, northern-mariana-islands, norway, oman, pakistan, palau, palestine, palestinian-territories, panama, papua-new-guinea, paraguay, peoples-democratic-republic, peru, philadhephia, philipians, Philippines, pitcairn-island, poland, politics, Portugal, puerto-rico, qatar, Norrbottens lan, republic-of-brazzaville, republic-of-south-korea, reunion-island, romania, Russia, russian-federation, rwanda, sahara-occidental, saint-kitts-and-nevis, saint-lucia, saint-vincent-and-the-grenadines, samoa, san-marino, sao-tome-and-principe, saudi-arabia, saudiarabia, scotland, Senegal, serbia, seychelles, sierra-leone, Singapore, singida, slovakia-slovak-republic, slovenia, solomon-islands, somalia, southafrica, spain, sri-lanka, sudan, suriname, swaziland-eswatini, sweden, switzerland, syria, syrian-arab-republic, tabora, taiwan-republic-of-china, tajikistan, tanzania, texas, thailand, the-gambia, tibet, timor-leste-east-timor, togo, tokelau, tonga, toronto, trinidad-and-tobago, tunisia, turkey, turkmenistan, turks-and-caicos-islands, tuvalu, uganda, united-arabs-emirates, united-kingdom, united-states, uruguay, uzbekistan, vancover, vanuatu, vatican-city-state-holy-see, venezuela, vietnam, virgin-islands-british, virgin-islands-u-s, wallis-and-futuna-islands
All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2026
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.