Isaya 27:1…siku hiyo Bwana kwa upanga wake uliomkali atamwathibu lewiathani nyoka yule mwepesi na nyoka yule mwenye kuzonga kuzonga.
Tunapomzungumzia nyoka tumamanisha shetani, pia shetani hukaa ndani ya watu,Vita tunavyopigana tunapigana na watu ambao roho ya shetani hukaa ndani yake.
Sasa unaposikia nyoka mwenye kuzonga, yule mtu ambaye anayafuatilia maisha yako.
Ukifungua kabiashara yupo kuharibu ukijaribu kujenga familia anaharibu, ukipata mchumba anaharibu yaani anazonga zonga mambo yako.Ni kupitia maombi utavuruga mipango ya lewiathani.Kesha na kudumu katika maombi siku zote.
#Iposiku #Getinspired #CantonaJosephMotivates


Leave a Reply