Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: travel

Mateka saba wa kwanza walioachiliwa huko Gaza, sasa wako Israel, IDF inathibitisha

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuachiliwa kwa mateka 48 wa Israeli – 20 kati yao wanaaminika kuwa hai – inatarajiwa kuanza muda mfupi ujao, pamoja… Read more “Mateka saba wa kwanza walioachiliwa huko Gaza, sasa wako Israel, IDF inathibitisha”

October 13, 2025 by CantonaDigital

Marekani kuipa Ukraine taarifa za kijasusi kutumika kwa mashambulizi dhidi ya Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Marekani itapanga kuipatia Ukraine taarifa za kijasusi zitakazotumika kuratibu mashambulizi ya makombora ya masafa marefu dhidi ya miundombinu ya nishati… Read more “Marekani kuipa Ukraine taarifa za kijasusi kutumika kwa mashambulizi dhidi ya Urusi”

October 2, 2025 by CantonaDigital

Rais wa zamani wa DRC,Kabila ahukumiwa kifo kwa kosa la usaliti

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani Joseph Kabila amehukumiwa adhabu ya kifo na mahakama ya kijeshi bila mwenyewe kuwepo. Mahakama ya kijeshi DRC… Read more “Rais wa zamani wa DRC,Kabila ahukumiwa kifo kwa kosa la usaliti”

October 1, 2025 by CantonaDigital

Viinite kugawanywa kwa familia: Mahakama ya Ukraine yawapa wazazi wa marehemu nusu ya viinitete

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kashfa ilizuka huko Dnipro nchini Ukraine kuhusu uamuzi wa mahakama kuhusu viini-tete vya marehemu vilivyohifadhiwa. Kinyume na mapenzi ya mke… Read more “Viinite kugawanywa kwa familia: Mahakama ya Ukraine yawapa wazazi wa marehemu nusu ya viinitete”

September 18, 2025 by CantonaDigital

Uber introduces safari rides to Nairobi National Park

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uber Safari enables customers book three-hour day or night safaris to the Nairobi National Park. | PHOTO: Uber/Handout Uber has… Read more “Uber introduces safari rides to Nairobi National Park”

September 17, 2025 by CantonaDigital

Mtuhumiwa wa mauaji ya Kirk ‘hatoi ushirikiano’ kwa mamlaka, gavana asema

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mshukiwa Tyler Robinson, 22, aliwekwa kizuizini saa 33 baada ya Kirk, mwanaharakati wa mrengo wa kulia mwenye umri wa miaka… Read more “Mtuhumiwa wa mauaji ya Kirk ‘hatoi ushirikiano’ kwa mamlaka, gavana asema”

September 15, 2025 by CantonaDigital

Makamu wa rais wa Sudan Kusini ashtakiwa kwa mauaji na uhaini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan Kusini Riek Machar amefunguliwa mashtaka ya mauaji, uhaini na uhalifu dhidi ya binadamu… Read more “Makamu wa rais wa Sudan Kusini ashtakiwa kwa mauaji na uhaini”

September 12, 2025 by CantonaDigital

ICC yafungua kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya kiongozi wa waasi wa Uganda Joseph Kony

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu itafungua kesi dhidi ya mbabe wa kivita wa Uganda mtoro Joseph Kony, katika hatua ya… Read more “ICC yafungua kesi ya uhalifu wa kivita dhidi ya kiongozi wa waasi wa Uganda Joseph Kony”

September 9, 2025 by CantonaDigital

Israel yafanya uvamizi viungani mwa miji ya na Homs na Latakia nchini Syria

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Israel yafanya uvamizi viungani mwa miji ya na Homs na Latakia nchini Syria Israel imeanzisha mashambulizi ya anga Jumatatu jioni… Read more “Israel yafanya uvamizi viungani mwa miji ya na Homs na Latakia nchini Syria”

September 9, 2025 by CantonaDigital

Watu sita wameuawa kwa kupigwa risasi huko Jerusalem

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Huduma ya gari la wagonjwa imesema watu wengine 11 wamejeruhiwa, wakiwemo sita walio katika hali mbaya wakiwa na majeraha ya… Read more “Watu sita wameuawa kwa kupigwa risasi huko Jerusalem”

September 8, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...