Tanzania: Serikali inawaondoa kwa nguvu wamaasai kutoka katika ardhi yao: HRW

Radio Fortune Africa

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

INATOKEA SASA HIVI

SIKILIZA RADIO FORTUNE AFRICA

  • Makala Maalum
  • Habari zote zinazovuma
  • Video
  • Empowerment Mathematics
  • Marriage Mathematics

HABARI KOTE DUNIANI

Nchini Tanzania,Wamaasai waondolewa kwa nguvu Katika ardhi yao.

Serikali ya Tanzania inawafurusha kwa nguvu makumi kwa maelfu ya Wamaasai kutoka katika ardhi yao kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kimataifa la kueteta haki za binadamu la Human Rights Watch.

Mamlaka imetetea mpango wa kuwahamisha watu hao ikisema ni njia moja ya kuhifadhi eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO kutokana na uvamizi wa binadamu.
Mamlaka imetetea mpango wa kuwahamisha watu hao ikisema ni njia moja ya kuhifadhi eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO kutokana n

Ripoti hiyo inaeleza kwamba maofisa wa serikali ya Tanzania kwa sehemu fulani wanawapiga watu wakiwa na nia ya kuwataka kuondoka kwenye ardhi yao.

Mzozo wa muda mrefu kati ya mamlaka nchini Tanzania na jamii ya Maasai kwa mara nyengine umesababisha machafuko mabaya tangu serikali ilipotangaza kuwahamisha mwaka wa 2022.

Serikali ilikuwa imepanga kuwahamisha karibia wamaasai 82,000 kutoka katika ardhi ya Ngorongoro kufikia mwaka wa 2027 kwa mujibu wa Human Rights Watch.

Ripoti hiyo ilieleza kwamba walinzi wa msitu waliwashambulia na kuwapiga wakazi hao na hadi sasa hawajachukuliwa hatua.
Ripoti hiyo ilieleza kwamba walinzi wa msitu waliwashambulia na kuwapiga wakazi hao na hadi sasa hawajachukuliwa hatua. © Daniel Fafard

Mamlaka imetetea mpango wa kuwahamisha watu hao ikisema ni njia moja ya kuhifadhi eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO kutokana na uvamizi wa binadamu.

HRW imesema iliwahoji karibu watu 100 kati ya Agosti 2022 na Desemba 2023, wakiwemo wamaasai ambao tayari walikuwa wamehamia katika kijiji cha Msomera huko Handeni na wengine wanaokabiliwa na tishio la kuhamishwa.

Ripoti hiyo ilieleza kwamba walinzi wa msitu waliwashambulia na kuwapiga wakazi hao na hadi sasa hawajachukuliwa hatua.

Serikali ya Tanzania inawafurusha kwa nguvu makumi kwa maelfu ya Wamaasai kutoka katika ardhi yao kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kimataifa la kueteta haki za binadamu la Human Rights Watch.
Serikali ya Tanzania inawafurusha kwa nguvu makumi kwa maelfu ya Wamaasai kutoka katika ardhi yao kwa mujibu wa ripoti ya Shirika la kimataifa la kueteta haki za binadamu la Human Rights Watch. AFP – JOSEPH EID

Ripoti hiyo pia ilidai kuwa serikali ya Tanzania ilishindwa kutoa kibali huru na cha haki kwa uhamisho huo, ikielezea ukiukwaji wa haki za ardhi, elimu na afya.

Wakati jamii ya kuhamahama kihistoria imeruhusiwa kuishi ndani ya baadhi ya mbuga za kitaifa, mamlaka inasema idadi inayoongezeka ya watu inaingilia makazi ya wanyamapori.

Kusambaza :

Soma zaidi mada inayofanana:

Kuhusu mada hiyohiyo

Mashtaka dhidi ya Camara na washirika wake, ni pamoja  na mauaji, ubakaji na utekaji nyara.

Uamuzi unatarajiwa katika kesi ya kihistoria ya mauaji katika uwanja wa Conakry

Khartoum, Mei 30, 2023. Jenerali Al-Burhane awatembelea wanajeshi wake.

Shambulizi la ndege isiyo na rubani lalenga kambi moja wakati wa ziara ya mkuu wa jeshi la Sudani

Mamlaka imetetea mpango wa kuwahamisha watu hao ikisema ni njia moja ya kuhifadhi eneo la Urithi wa Dunia wa UNESCO kutokana na uvamizi wa binadamu.

Tanzania: Serikali inawaondoa kwa nguvu wamaasai kutoka katika ardhi yao: HRW

Jenerali Abdel Fattah al-Burhan, kiongozi wa utawala wa kijeshi nchini Sudan, Desemba mwaka wa 2022.

Sudan : Jeshi lataka masharti kadhaa kutimizwa kabala ya mazungumzo mjini Geneva

 

Kiongozi wa zamani wa kijeshi nchini Guinea Moussa Dadis Camara.

Guinea : Mahakama kutoa uamuzi wake dhidi ya Moussa Dadis Camara

 

Mwonekano wa jumla unaoonyesha moja ya kmitaa ya Niamey, Niger, Agosti 2, 2023

Niger: Mahakama yaagiza kuachiliwa kwa muda kwa mawaziri wanne wa zamani wa rais Mohamed Bazoum

"Sisi ni mamilioni ya vijana wa Cameroon ambao kwa sasa tunateseka chini ya utawala wa CPDM kwa zaidi ya miaka 40," amelalama Junior Ngombe kwenye video aliyorekodi TikTok.

Mwanaharakati wa Cameroon azuiliwa kwa machapisho yake kwenye Tiktok

Sahara Magharibi, koloni la zamani la Uhispania, inadhibitiwa haswa na Morocco, ambayo inapendekeza mpango wa kujitawala chini ya uhuru wake.

Sahara Magharibi: Algeria yatangaza ‘kumrejesha nyumbani’ balozi wake Paris

Rais Emmanuel Macron kwenye barua aliyomtumia Mfalme Mohammed wa Sita kumpongeza baada ya kuchukua uongozi wa Morocco miaka 25 iiyopita, amesema anaunga mkono pendekezo la nchi hiyo ndio njia pekee itakayoleta suluhu ya kudumu

Ufaransa yaunga mkono uhuru wa Sahara Magharibi ndani ya Morocco

Mwonekano wa uwanja wa ndege wa Goma, uwanja mkuu wa ndege katika mkoa wa Kivu Kaskazini, ambako kuna wasiwasi kuhusu kuingiliwa kwa mfumo wa GPS.

DRC: Kinshasa inashutumu Rwanda na M23 kwa oparesheni za kuhatarisha usalama wa anga

Jeshi la Mali (FAMA) na mshirika wake Wagner walikabiliana na waasi wa CSP katika eneo la Tinzaouatène, kaskazini mashariki mwa Mali, karibu na mpaka wa Algeria. Mapigano yalisababisha hasara kubwa katika safu ya FAMA na mshirika wake kutoka Urusi.

Mali: Jeshi la Mali lakiri kupioteza wanajeshi wake wengi mjini Tinzaousene

Serikali ya Kenya imesema itaunga mkono kikamilifu azma ya Raila Odinga kuwania uwenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika AUC.

Fahamu agenda kuu za Odinga iwapo atachaguliwa kuwa mwenyekiti wa AUC

 

Rais wa zamani wa Afrika Kusini Jacob Zuma anazungumza na wanahabari nyumbani kwake Nkandla, KwaZulu-Natal, Julai 4, 2021.

Afrika Kusini: Jacob Zuma aondolewa rasmi kwenye ANC

INATOKEA SASA HIVI

DUNIA

SISI NI NANI

TOVUTI ZA FRANCE MÉDIAS MONDE

HUDUMA

MAOMBI

France Médias Monde

© 2024 Copyright RFI – Haki zote zimehifadhiwa. RFI haihusiki kwa maudhuhi ya kitokacho nje ya tovuti. Utambuzi wa ACPM.ACPM

Orodha

10:00

GURUDUMU LA UCHUMI

04/03/2024

Umuhimu wa ushirikiano kati ya sekta binafsi na uma

10:04

WIMBI LA SIASA

20/03/2024

Makala haya yanatupia jicho uchaguzi wa urais nchini Urusi, nini maana ya ushindi wa rais Vladimir Putin.

09:56

AFRIKA YA MASHARIKI

28/10/2023

Nishati inachangia asilimia kubwa kwa ukuaji wa Uchumi wa mataifa

20:03

CHANGU CHAKO, CHAKO CHANGU

28/11/2023

Historia ya kabila la Wadigo wa Kenya na Tanzania katika Makala Changu Chako na Florence Kiwuwa

10:02

GURUDUMU LA UCHUMI

04/03/2024

Kuberoshwa kwa huduma ya intaneti Kenya na ilivyochochea ubunifu

20:04

NYUMBA YA SANAA

06/01/2024

Ambwene Mwasongwe Muimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Tanzania

10:19

SIHA NJEMA

21/11/2023

Mpango wa afya kwa wote barani Afrika

Mwanzo

Podikasti

MubasharaHabariOrodha Kuu


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment