
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
Na Cantona Joseph April 08, 2026 12:08 (EAT)


Kiongozi mkuu wa Korea Kaskazini Kim Jong UnPicha: Yonhap/picture alliance
Korea Kaskazini imerusha kombora kwenye bahari karibu na ufukwe wake katika pwani ya mashariki ikiwa ni tukio la pili ndani ya siku mbili, Hayo yamesemwa na jeshi nchini Korea Kusini.
Korea Kaskazini imerusha kombora kwenye bahari karibu na ufukwe wake katika pwani ya mashariki ikiwa ni tukio la pili ndani ya siku mbili, Hayo yamesemwa na jeshi nchini Korea Kusini.
Tukio hilo limetokea baada ya jeshi la Korea Kusini kusema kuwa limegundua uzinduzi wa kombora lisilojulikana karibu na mji mkuu wa Korea Kaskazini siku ya Jumanne na kwamba mamlaka ya ujasusi ya Korea Kusini na Marekani zinaendelea kufanya uchunguzi kubaini kinachoendelea.
Mapema wiki hii, Korea Kaskazini ilisema kwamba kiongozi wake, Kim Jong Un alishuhudia jaribio la injini ya mafuta iliyoboreshwa kwa ajili ya silaha na kupongeza hatua hiyo aliyoitaja kuwa inaimarisha silaha zake za kimkakati kwa ajili ya shughuli za kijeshi nchini humo.
Hata hivyo, katika tukio hili la hivi karibuni, timu ya maafisa wa Korea Kusini hawakutoa maelezo zaidi kuhusu umbali gani kombora hilo la Korea Kaskazini liliruka na aina ya kombora lenyewe.
Wahamiaji kiasi 180 wafariki au kutoweka mediterrania

Wahamiaji huatarisha maisha kwa kufanya safari za baharini kwa kutumia maboti au mashua kuvuka kuingia UlayaPicha: Marcel Beloqui Evardone/SIPA/picture alliance
Shirika la IOM lasema watu wasiopunguwa 1,000 wamepoteza maisha baharini tangu mwanzoni mwa mwaka 2026
Umoja wa Mataifa umearifu kwamba zaidi ya watu 180 wanakhofiwa wamefariki au kutoweka ndani ya siku 10 zilizopita kufuatia meli kuzama kwenye bahari ya Mediterania.
Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la kimataifa la wahamiaji la Umoja huo IOM vifo vya takriban watu 1,000 vimeripotiwa tangu mwanzoni mwa mwaka huu, na kuufanya kuwa mwaka ulioshuhudia vifo vingi zaidi tangu mwaka 2014.
Shirika hilo limeyataja matukio mbali mbali ya kuzama kwa meli ikiwemo tukio la Jumapili lilosababisha kutoweka kwa wahamiaji 80 baada ya boti walimokuwa, kuzama wakitokea Libya.
Tangu tarehe 28 March watu wasiopunguwa 181 walifariki au hawajulikani waliko kufuatia matukio matano tofauti ya meli kuzama.
Spika wa zamani wa bunge la bangladesh akamatwa

Shirin Sharmin Chaudhury akiwa na waziri mkuu aliyeondolewa kwa nguvu madarakani Sheikh HasinaPicha: Dev
Shirin Sharmin Chaudhury ambaye pia alihudumu kama waziri chini ya utawala wa waziri mkuu aliyeondolewa kwa nguvu madarakani Sheikh Has
Polisi nchini Bangladesh wamemkamata aliyekuwa spika wa bunge Shirin Sharmin Chaudry ambaye pia alihudumu kama waziri katika utawala wa waziri mkuu aliyeondolewa kwa nguvu madarakani Sheikh Hasina.
Tarique Rahman aapishwa kuwa Waziri Mkuu Bangladesh
Chaudry anakabiliwa na tuhuma za kujaribu kufanya mauaji
akijiunga na orodha ya wanachama wengine waliokamatwa wa chama kilichopigwa marufuku cha Awami League kinachoongozwa na Hasina.
Sheikh Hasina ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela kwa makosa ya ufisadi
Wachunguzi wa kesi ya kushambuliwa waandamanaji, wameiambia mahakama hivi leo kwamba spika huyo wa zamani wa bunge,alikuwa mtu muhimu katika upitishaji maamuzi akitajwa kuhusika na mipango pamoja na amri zilizotolewa kuwashambulia raia waliokuwa hawana silaha.
Chaudhury ambaye amekanusha mashtaka,kabla ya kukamatwa, hakuwahi kuonekana hadharani tangu vuguvugu la maandamano mwaka 2024 lililosababisha vifo na kuondolewa madarakani sheikh Hasina.
Bayern Munich yaitandika Real Madrid nyumbani

Nyota wa Bayern Munich, Harry Kane akiwa katikati ya wachezaji wa Real MadridPicha: Thomas Coex/AFP
Bayern Munich wameanza kwa kishindo katika mechi ya mkondo wa kwanza ya hatua ya robo fainali katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu UEFA Champions League kwa kuitandika Real Madrid 2-1.
Mabingwa wa Ligi Kuu Kandanda ya UjerumanI Bayern Munich wameanza kwa kishindo katika mechi ya mkondo wa kwanza ya hatua ya robo fainali katika michuano ya ligi ya mabingwa barani Ulaya maarufu UEFA Champions League kwa kuitandika Real Madrid 2-1.
Bayern iliyokuwa ugenini ilianza kuliona lango la Madrid mnamo dakika ya 41 kupitia kwa mshambuliaji wake Luiz Diaz na dakika 5 baadaye Harry Kane akaongeza kamba ya pili iliyowapa ushindi. Bao la kufutia machozi la Real Madrid likifungwa dakika ya 74 na Kylian Mbappe.
Katika mchezo mwingine, Vinara wa ligi ya England, Arsenal wakiwa ugenini nchini Ureno wamepata ushindi mwembamba wa goli 1-0 dhidi ya Sporting Lisbon. Goli la Arsenal liliwekwa kambani na Kai Havertz katika muda wa nyongeza, dakika ya 91.
Hii leo ni zamu ya Barcelona dhidi ya Atletico Madrid na mabingwa watetezi PSG watemenyana na Liverpool.
afghanistan, africa, albania, algeria, America, american-samoa, andorra, angola, anguilla, antarctica, antigua-and-barbuda, argentina, armenia, aruba, arusha, australia, austria, azerbaijan, bahamas, bahrain, bangladesh, barbados, belarus, Belgium, belize, benin, bermuda, bhutan, bolivia, bosnia-and-herzegovina, botswana, Boukinafaso, brazil, brunei-darussalam, bulgaria, burkina-faso, burma, burundi, california, cambodia, cameroon, canada, cape-verde, cayman-islands, central-african-republic, Chad, chicago, chile, china, christmas-island, cocos-keeling-islands, colombia, comoros, congo, cook-islands, costa-rica, cote-divoire-ivory-coast, Croatia, cuba, cyprus, czech-republic, darsalaam, democratic-peoples-rep-north-korea, democratic-republic-of-the-congo-kinshasa, denmark, djibouti, dodoma, dominica, dominican-republic, dr-congo, dubai, east-timor-timor-leste, ecuador, egypt, egypty, el-salvador, england, equatorial-guinea, equitorial-guinea, eritrea, estonia, eswatini, ethiopia, falkland-islands, faroe-islands, federal-states-of-moldova, fiji, finland, Florida, france, french-guiana, french-polynesia, french-southern-territories, gabon, gaza, georgia, germany, ghana, gibraltar, goma, Greece, greenland, grenada, guadeloupe, guam, guatemala, guinea, guinea-bissau, guyana, habari, haiti, holy-see, honduras, hong-kong, houston, hungary, iceland, india, indonesia, Iowa, iran, iran-islamic-republic-of, iraq, ireland, israel, italia, italy, ivory-coast, jamaica, japan, jordan, karatu, kazakhstan, kilimanjaro, kinshasa, kiribati, kiswahili, korea, kosovo, kuwait, kyrgyzstan, lao, latvia-lebanon-lesotho-liberia-libya-liechtenstein-lithuania-luxembourg, Lebanon, liberia, macau, madagascar, malawi, malaysia-maldives, Mali, malta, marshall-islands-martinique-mauritania-mauritius, massechutes, mayotte, mazingira, mbeya, meru, mexico, miami, micronesia, monaco-mongolia-montenegro, montserrat, morocco, mozambique-myanmar, mtwara, mwanza, namibia, nauru, nepal, netherlands, netherlands-antilles, nevada, new-caledonia, new-zealand, newyork, nicaragua, niger, nigeria, niue, north-macedonia, northern-mariana-islands, norway, oman, pakistan, palau, palestine, palestinian-territories, panama, papua-new-guinea, paraguay, peoples-democratic-republic, peru, philadhephia, philipians, Philippines, pitcairn-island, poland, politics, Portugal, puerto-rico, qatar, republic-of, republic-of-brazzaville, republic-of-south-korea, reunion-island, romania, Russia, russian-federation, rwanda, sahara-occidental, saint-kitts-and-nevis, saint-lucia, saint-vincent-and-the-grenadines, samoa, san-marino, sao-tome-and-principe, saudi-arabia, saudiarabia, scotland, Senegal, serbia, seychelles, sierra-leone, Singapore, singida, slovakia-slovak-republic, slovenia, solomon-islands, somalia, southafrica, spain, sri-lanka, sudan, suriname, swaziland-eswatini, sweden, switzerland, syria, syrian-arab-republic, tabora, taiwan-republic-of-china, tajikistan, tanzania, texas, thailand, the-gambia, tibet, timor-leste-east-timor, togo, tokelau, tonga, toronto, trinidad-and-tobago, tunisia, turkey, turkmenistan, turks-and-caicos-islands, tuvalu, uganda, united-arabs-emirates, united-kingdom, united-states, uruguay, uzbekistan, vancover, vanuatu, vatican-city-state-holy-see, venezuela, vietnam, virgin-islands-british, virgin-islands-u-s, wallis-and-futuna-islands, wallis-and-futuna-islands, wallis-et-futuna, washington-dc, western-sahara, yemen, zambia, zambie, zimbabwe
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.