Mataifa kadhaa duniani yasherehekea Eid al-fitr 2026

Radio Fortune Africa -Ukweli na Burudani

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Na Cantona Joseph,Imechapishwa : March 20, 2026 15:33 (EAT)

Vocalize Pre-Player Loader

Waisalmu nchini Ugiriki katika Sala ya Eid al-Fitr 20.03.2026Picha: Petros Giannakouris/AP Photo/picture alliance

Ijumaa tarehe 20.03.2026 mataifa kadhaa yamesherehekea sikukuu ya Eid al-Fitr kuashiria kumalizika mfungo wa mwezi wa Ramadhani hata hivyo katika eneo la Mashariki ya Kati, jamii zina wasiwasi.

Waislamu walikusanyika katika Msikiti Mkuu wa Makka kusali, salaya Eid kuashiria mwisho wa Ramadhani.

Vilevile Sala ya Eid imefanyika na sherehe zinafanyika katika maeneo mbalimbali dunaini ingawa katika nchi zingine sikuu hii itasherehekewa hapo kesho Jumamosi, Eid kwa kawaida hupokelewa kwa furaha na msisimko na huadhimishwa na sala na sherehe zinazojumuisha mikusanyiko ya kifamilia, watu kutembeleana na kuvaa nguo mpya. Hata hivyo mwaka huu sikukuu ya Eid pia inaadhimishwa na vita vinavyoendelea nchini Iran na katika sehemu nyingi za Mashariki ya Kati.

Wakazi jijini Tehran kwenye maandalizi ya sikukuu ya Eid Al-FitrPicha: Fatemeh Bahrami/Anadolu/picture alliance

Milipuko mikubwa imetikisa mji wa Dubai huku mifumo ya ulinzi wa anga ikizuia mashambulizi yaliyoulenga mji huo mapema leo wakati watu walipokuwa wanasali sala Eid al-Fitr.

Wakazi wa Gaza wanajitahidi kukidhi mahitaji ya Eid al-Fitr, hata katika kiwango cha msingi, licha ya hali mbaya ya maisha kutokana na vita katika eneo hilo na kupungua kwa mapato ya raia.

Masoko maarufu yalishuhudia wimbi la watu asubuhi ya leo wakinunua mahitaji kwa ajili ya Eid, katika juhudi za kuleta furaha majumbani mwao na kwa watoto wao baada ya kushindwa kusherehekea katika kipindi chote cha vita vya Israel katika Ukanda wa Gaza.

Katika Falme ya Kiarabu, sala za nje kwa ajili ya Eid zimepigwa marufuku ni lazima zifanyike ndani ya misikiti kwa sababu za kiusalama. Nchini Kuwait, mamlaka zimepiga marufuku kwa muda matamasha, na sherehe za harusi wakati wa Eid al-Fitr ili kupunguza mikusanyiko mikubwa ya watu.

Waislamu nchini Ethiopia katika sala ya Eid al-Fitr, 20.03.2026Picha: Shewangizaw Wegayehu/DW

Wakati huo huo Pakistan na Afghanistan zimetangaza kusitishwa kwa mapigano wakati wa sherehe ya Eid, baada ya mapigano mabaya kati ya nchi hizo mbili ambayo yamesababisha vifo vya ya watu mapema wiki hii.

afghanistanafricaalbaniaalgeriaAmericaamerican-samoaandorraangolaanguillaantarcticaantigua-and-barbudaargentinaarmeniaarubaarushaaustraliaaustriaazerbaijanbahamasbahrainbangladeshbarbadosbelarusBelgiumbelizebeninbermudabhutanboliviabosnia-and-herzegovinabotswanaBoukinafasobrazilbrunei-darussalambulgariaburkina-fasoburmaburundicaliforniacambodiacamerooncanadacape-verdecayman-islandscentral-african-republicChadchicagochilechinachristmas-islandcocos-keeling-islandscolombiacomoroscongocook-islandscosta-ricacote-divoire-ivory-coastCroatiacubacyprusczech-republicdarsalaamdemocratic-peoples-rep-north-koreademocratic-republic-of-the-congo-kinshasadenmarkdjiboutidodomadominicadominican-republicdr-congodubaieast-timor-timor-lesteecuadoregyptegyptyel-salvadorenglandequatorial-guineaequitorial-guineaeritreaestoniaeswatiniethiopiafalkland-islandsfaroe-islandsfederal-states-of-moldovafijifinlandFloridafrancefrench-guianafrench-polynesiafrench-southern-territoriesgabongazageorgiagermanyghanagibraltargomaGreecegreenlandgrenadaguadeloupeguamguatemalaguineaguinea-bissauguyanahabarihaitiholy-seehondurashong-konghoustonhungaryicelandindiaindonesiaIowairaniran-islamic-republic-ofiraqirelandisraelitaliaitalyivory-coastjamaicajapanjordankaratukazakhstankilimanjarokinshasakiribatikiswahilikoreakosovokuwaitkyrgyzstanlaolatvia-lebanon-lesotho-liberia-libya-liechtenstein-lithuania-luxembourgLebanonliberiamacaumadagascarmalawimalaysia-maldivesMalimaltamarshall-islands-martinique-mauritania-mauritiusmassechutesmayottemazingirambeyamerumexicomiamimicronesiamonaco-mongolia-montenegromontserratmoroccomozambique-myanmarmtwaramwanzanamibianaurunepalnetherlandsnetherlands-antillesnevadanew-caledonianew-zealandnewyorknicaraguanigernigerianiuenorth-macedonianorthern-mariana-islandsnorwayomanpakistanpalaupalestinepalestinian-territoriespanamapapua-new-guineaparaguaypeoples-democratic-republicperuphiladhephiaphilipiansPhilippinespitcairn-islandpolandpoliticsPortugalpuerto-ricoqatar Norrbottens lanrepublic-of-brazzavillerepublic-of-south-koreareunion-islandromaniaRussiarussian-federationrwandasahara-occidentalsaint-kitts-and-nevissaint-luciasaint-vincent-and-the-grenadinessamoasan-marinosao-tome-and-principesaudi-arabiasaudiarabiascotlandSenegalserbiaseychellessierra-leoneSingaporesingidaslovakia-slovak-republicsloveniasolomon-islandssomaliasouthafricaspainsri-lankasudansurinameswaziland-eswatiniswedenswitzerlandsyriasyrian-arab-republictaborataiwan-republic-of-chinatajikistantanzaniatexasthailandthe-gambiatibettimor-leste-east-timortogotokelautongatorontotrinidad-and-tobagotunisiaturkeyturkmenistanturks-and-caicos-islandstuvaluugandaunited-arabs-emiratesunited-kingdomunited-statesuruguayuzbekistanvancovervanuatuvatican-city-state-holy-seevenezuelavietnamvirgin-islands-britishvirgin-islands-u-swallis-and-futuna-islands

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2026

CantonaDigital
CantonaDigital

Listen Live Radio Fortune Africa
Ukweli Na Burudani.

-Be ready to be Impacted, Inspired & Empowered.

-Keep watching our Channels

Cantona Cast Television,

Fortune Television Network (FTN)

Donation
Paypal https://www.paypal.com/donate/?hosted_button_id=6EKXMLNW8W6A2&fbclid=IwY2xjawQxeChleHRuA2FlbQIxMABicmlkETFRdkNBRndpclRDQTB5bXZZc3J0YwZhcHBfaWQQMjIyMDM5MTc4ODIwMDg5MgABHq960uGsyU3ABRIBc2h-iXGhHATvuEqe55gFsQ-rDb0fT-Z7SIQ3TV8LnkpD_aem_ybU2SvBlvyqrVsS9NAczRw

An attitude determines an altitude.

All Rights Reserved © The Cantona Group PLC||2025

5,344 posts
0 followers

Fediverse Followers


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply