Mungu amekujalia uwezo wa kifedha,madaraka na Mali vitumie kusaidia wengine.Na iwapo huwezi kuwasaidia basi usiwaumize kutumia ulichojaliwa.
Mahatma Gandhi,aliwai Seema,iwapo huwezi wasaidia wengine basi usiwaumize.(If you can’t help them, at least do not hurt them)
Wacha nikupe story,Mwaka huu nilianza kwa mapenzi yake Mungu na malengo niliyoyawazia miaka mingi kurekodi nyimbo za Gospel, Ni mwito ambao nilikua nao,kuandika nyimbo nilianza kuandika 2002, na wengi tunachelewa kusikiza sauti,Mama yangu Ni role model wangu Yeye hunisukuma kwa mambo mengi makubwa hili la uimbaji amehusika kunitia moyo nilikuze,Kuna neema na ushindi bali na kuwa mwana habari bora kumtumikia mola.Yeye anakipaji cha kuimba
Baba naye mzee wangu Yeye unishauri nikitumie kipaji Mungu amenipa kwa utukufu wake.Mwaka 2019,nimeamua kurekodi nyimbo studio niliyowaza kurekodi Ni Still Alive Studio,Maana producer yule nilimjua kwa kutoka enzi zile akiwa mjini Eldoret,Bahati nzuri nilifanya kazi katika kituo Cha Redio cha Sayare&Televisheni happo ndipo nilipomjua akifanya kazi studio ya kurekodi nyimbo ya Hillsong na baadae hosana.
Kwenye studio ya still Alive 2019 mwezi January safari ilianza, kunirekodi na kuandaa Hadi mandalizi, single audio, Ni Alfu 12,000/= za Kenya,nikatoa deposit 8,000/= risiti lipo kudhibitisha hilo.
Mwenye matumaini kutoa wimbo wa Kwanza,Nimewalika marafiki wangu kutoka Tanzania watatu,Annoit Amani,Rebbeca Andrew na Happy Kamwela,watatu hao wanisaidie kurekodi wimbo wa kwanza.
Sasa drama ikaanza,nilizungushwa na Kaka Tim,Njoo kesho,kesho hiyo yote ikawa Ni gharama,njoo kesho kesho,kesho Hadi hiyo kesho naisubiria leo,Nilibadili mkondo Nika agiza anirejeshe aghalau fedha 5,000 nimepoteza mda,wageni wanahitaji nimetumia hela kuwashughulikia,Kumbuka nipo na wageni kutoka Taifa jirani,wanaohitaji Kila siku niwashughulikie,na sijarekodi.
Dakika ya mwisho hakunirekodi.Na nikamwachia hizo 8,000/= za Kenya.Unajua mwezi wa January ulivyo na ukame.Nilihamia studio nyingine ambapo ,producer mwingine anaendelea kunilea.Kufikia sasa nimerekodi nyimbo sita album ya Kwanza audio nzuri.Safari bado.Usimdharau mtu,anapohitaji huduma au usaidizi kutoka kwako,Maana hujui hatima yake kesho.Na wewe unayehangaishwa usife moyo kesho yako Mungu anaishugulikia wewe Ni Jeshi kubwa,kiongozi mkubwa ndoto zako zitatimia Maana ana makusudi na Maisha yako.

Wazazi waliniusia nisikatee tamaa,kwa lolote ninalolifanya na hakika ushauri wao umeniweka Jijini miaka mingi.
Pokea mengi kutoka kwenye website yangu http://CantonaJoseph.wordpress.com
#CantonaJosephMotivates. #Iposiku #Getlnspired #Itissettled


Discover more from Cantona. Digital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply

About us

Welcome to Cantona Group PLC-Where media meets moments.

Cantona Group PLC is a Premier Multi Media Group, where we connect live Broadcasting with world-class Production. We break the latest news in real-time, shape public perception, and produce captivating audio-visual content all under one roof.

Discover more from Cantona. Digital

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading

Discover more from Cantona. Digital

Subscribe now to keep reading and get access to the full archive.

Continue reading