Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: December 2024

Vita nchini Ukraine: Askari wa Korea Kaskazini aliyejeruhiwa achukuliwa mfungwa na Kyiv

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vikosi vya Ukraine vimemkamata mwanajeshi wa Korea Kaskazini aliyetumwa kusaidia jeshi la Urusi, zimearifu taarifa za kijasusi za Korea Kusini… Read more “Vita nchini Ukraine: Askari wa Korea Kaskazini aliyejeruhiwa achukuliwa mfungwa na Kyiv”

December 27, 2024 by CantonaDigital

Vifo vingi vyarekodiwa mwaka 2024 kwa wahamiaji wanaojaribu kuingia Uhispania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya wahamiaji 10,400 walifariki au kutoweka baharini walipokuwa wakijaribu kuingia Uhispania mnamo mwaka 2024. Njia mbaya zaidi ulimwenguni ni… Read more “Vifo vingi vyarekodiwa mwaka 2024 kwa wahamiaji wanaojaribu kuingia Uhispania”

December 27, 2024 by CantonaDigital

Kabila na Katumbi watoa wito kwa Wakongo kupinga nia ya serikali kurekebisha katiba

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na mwenyekiti wa kamati ya maadili ya muungano wa FCC, Joseph… Read more “Kabila na Katumbi watoa wito kwa Wakongo kupinga nia ya serikali kurekebisha katiba”

December 27, 2024 by CantonaDigital

Israel yashambulia uwanja wa ndege, bandari Yemen, Mkuu wa WHO anusurika

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Israel imefanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo kadhaa yanayohusiana na Wahuthi nchini Yemen, yakiwemo Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa… Read more “Israel yashambulia uwanja wa ndege, bandari Yemen, Mkuu wa WHO anusurika”

December 27, 2024 by CantonaDigital

Zijue nchi za Afrika zisizoruhusu uraia pacha, zipo za Afrika Mashariki

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uraia wa nchi mbili ni kinyume cha sheria katika nchi kadhaa za Kiafrika. Lakini uraia huo hutoa manufaa mbalimbali, ikiwa… Read more “Zijue nchi za Afrika zisizoruhusu uraia pacha, zipo za Afrika Mashariki”

December 27, 2024 by CantonaDigital

AFRIKA LEO JIONI-26-12-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Karibu katika Matangazo yetu ya jioni moja kwa moja kutoka Communication Center. Tumekuandalia mengi ikiwa ni pamoja Muhtasari Naam,Natumai U… Read more “AFRIKA LEO JIONI-26-12-2024”

December 26, 2024December 26, 2024 by CantonaDigital

Msumbiji: Wafungwa 1,500 watoroka jela katikati ya ghasia za baada ya uchaguzi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Msumbiji, serikali imethibitisha, jioni ya Desemba 25, kutoroka kwa wafungwa wengi kutoka gereza lenye ulinzi mkali karibu na Maputo.… Read more “Msumbiji: Wafungwa 1,500 watoroka jela katikati ya ghasia za baada ya uchaguzi”

December 26, 2024 by CantonaDigital

Kenya: IPOA ina wasiwasi kuhusu ongezeko la utekaji nyara unaofanywa na maafisa wa polisi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Kenya, wasiwasi unaongezeka kuhusu msururu wa utekaji nyara na visa vya watu kutoweka unaodaiwa kutekelezwa na polisi katika wiki… Read more “Kenya: IPOA ina wasiwasi kuhusu ongezeko la utekaji nyara unaofanywa na maafisa wa polisi”

December 26, 2024 by CantonaDigital

Tsunami ya 2004: Miaka 20 baadaye, nchi kadhaa za Asia zaomboleza vifo vya raia wao

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Miongo miwili iliyopita, siku moja baada ya Krismasi, tsunami ilipiga visiwa vya Koh Phi Phi, katika mkoa wa Krabi, kusini… Read more “Tsunami ya 2004: Miaka 20 baadaye, nchi kadhaa za Asia zaomboleza vifo vya raia wao”

December 26, 2024 by CantonaDigital

Sudani: Njaa inaenea na Serikali yajiondoa kwenye kipimo cha usalama wa chakula.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Njaa inazidi kushika kasi nchini Sudan. Huu ni uchunguzi uliofanywa na mfumo jumuishi wa uainishaji wa usalama wa chakula, unaojulikana… Read more “Sudani: Njaa inaenea na Serikali yajiondoa kwenye kipimo cha usalama wa chakula.”

December 25, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...