Sudani: Raia kumi wauawa katika shambulio la kijeshi Darfur Kaskazini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Raia kumi wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa siku ya Jumatano huko el-Facher, mji mkuu uliozingirwa wa Darfur Kaskazini, kufuatia shambulio la kijeshi lililoikumba hospitali kuu ya mji huo na vitongoji vingine, ripoti zinasema.

Muonekano wa El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, tarehe 5 Septemba 2016.
Muonekano wa El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, tarehe 5 Septemba 2016. © ASHRAF SHAZLY / AFP

Shambulio hilo “limeua raia 10 na kujeruhi wengine 20 siku ya Jumatano wakati wa mashambulizi ya anga katika mji wa el-Facher na katika hospitali (inayotiwa Saudia),” imeripoti kamati ya upinzani ya eneo hilo, kundi moja la watu wa kujitolea ambao waliratibu misaada kote Sudan katika kipindi cha  miezi ishiriniya vita kati ya jeshi na Jeshi na wanamgambo wa vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).

Tangu Aprili 2023, Sudan imeharibiwa na vita kati ya majenerali wawili, mkuu wa jeshi Abdel Fattah Abdelrahman Burhan, na Mohamed Hamdane Daglo, mkuu wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).

All Rights Reserved © Cantona Group PLC||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply