Afrika Leo Jioni-Uganda yapinga madai.

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa

Uganda imetupilia mbali ripoti ya wataalam wa Umoja wa Mataifa kuwa inawaunga mkono waasi wa #M23 wanaoendelea kutekeleza mashambulio mashariki mwa nchi jirani ya #DRCongo.

Ripoti hiyo iliotolewa wiki hii inasema kwamba M23 ilikuwa inapokea msaada wa kijeshi na kiintelenjensia kutoka kwa Uganda.

TheHeartBeatofAfrica

All Rights Reserved Cantona Group Ltd||2024


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a comment