Usiogope KUTOKUELEWEKA kwa kufanya JAMBO sahihi Bali… …OGOPA kueleweka huku ukijua UNAPOTEA. Huu ni MTEGO hatari ila lazima UUVUKE. Watu wengi WAMEKWAMA HAPA. Kuna wakati DUNIA inaweza… Read more “Tenda kilicho sahihi.”
Month: June 2024
7 habits of highly effective people.
10 practical lessons you can learn from Stephen Covey’s timeless classic, “The 7 Habits of Highly Effective People: 30th Anniversary Edition”: Habit 1: Be Proactive Habit 2:… Read more “7 habits of highly effective people.”
When a man is in love with a woman.
WHEN A MAN IS IN LOVE WITH A WOMAN All Rights Reserved © Cantona Group Ltd|2024
12 ways to test true love.
I Love You! You Love Me!Is a common saying. Everyone want to be in Love but not everyone is ready to pay the price. To know whether… Read more “12 ways to test true love.”
Wakenya wachanga Shilingi milioni 1.2 za Kenya.
Na Cantona Joseph Juni 17,2024 MTOTO wa miezi 11 anayehitaji upasuaji muhimu ili kuokoa maisha yake Jumapili, Juni 16, 2024 alilazwa katika hospitali ya Fortis Memorial nchini… Read more “Wakenya wachanga Shilingi milioni 1.2 za Kenya.”
Naibu Rais Nchini Kenya Rigathi Gachagua aomba maombi.
Na Cantona Joseph:Juni 17,2024 NAIBU Rais Rigathi Gachagua ameihimiza jamii ya Kikristu kumuombea ili aendelee kuwa mkweli katika jitihada zake kuhudumia taifa na pia kusaidia Rais William… Read more “Naibu Rais Nchini Kenya Rigathi Gachagua aomba maombi.”
Rais Ruto wa Kenya amemuomboleza Hakimu mkuu aliyeuawa.
Na Cantona Joseph:Juni 17,2024 RAIS William Ruto amemuomboleza Hakimu Mkuu Monica Kivuti ambaye aliaga dunia Jumamosi kutokana na majeraha ya risasi aliyopata baada ya kushambuliwa na afisa… Read more “Rais Ruto wa Kenya amemuomboleza Hakimu mkuu aliyeuawa.”
Jacob Zuma wa Afrika Kusini hajaridhika.
Na Cantona Joseph:17 Juni 2024 Zuma kwenda katika mahakama ya kimataifa kuhusu matokeo ya uchaguzi wa SA Chama chake cha MK kinashutumu Tume ya Uchaguzi na Mahakama… Read more “Jacob Zuma wa Afrika Kusini hajaridhika.”
Pokot Magharibi Nchini Kenya inakabiliwa na uhaba wa walimu.
Na Cantona Joseph;Juni 17,2024 KAUNTI ya Pokot Magharibi inakabiliwa na uhaba mkubwa wa walimu, hali inayochangia shule za eneo hilo kuandikisha matokeo mabaya katika mtihani wa kitaifa.… Read more “Pokot Magharibi Nchini Kenya inakabiliwa na uhaba wa walimu.”
Jinsi ufugaji katika vizimba unatishia simba wa Afrika Kusini.
Na Cantona Joseph :Juni 17,2024 Wahifadhi wa Afrika Kusini wanaishinikiza serikali kutekeleza uamuzi wa baraza la mawaziri kukomesha ufugaji wa simba waliotekwa, ambao umezaa tasnia inayoonyesha ukiukaji… Read more “Jinsi ufugaji katika vizimba unatishia simba wa Afrika Kusini.”