Chukua hatua usikate tamaa.

https://youtu.be/69iBkNmDzus?si=MmFPjY2YTKSpGSrm


Leo Chukua HATUA HII upate MATOKEO

Kuna wakati unaweza kufika ukahitimisha kuwa HAUNA NGUVU TENA.

Yaani, akili yako inakuambia kuwa hauwezi hata kuinua mguu tena.

Kibaya zaidi kwenye muda huu, utashawishiwa kuwa na ule msimamo wa “Liwalo na Liwe”.

Chris Bradford aliwahi kusema kuwa…

“There’s no failure except in Longer Trying”…

Yaani HAKUNA KUFELI Kama bado UTAENDELEA KUJARIBU.

Inawezekana kabisa kwa sasa kila dalili inaonekana UMEFIKA mwisho…

…Ila unajua HATUA MOJA inaweza kubadilisha kila kitu.

Leo, kabla HAUJAHITIMISHA kuwa umefunga UKURASA.

JIPE changamoto ya MWISHO, JARIBU TENA.

Ninahisi moyoni Mwangu kuwa, kuna hatua ambayo UKIICHUKUA leo…

…ITABADILISHA kila kitu kwenye MAISHA yako.

Tafadhali, kabla HAUJAFUNGA UKURASA, basi JARIBU mara ya MWISHO.

Kuna kitu kizuri KITATOKEA!

Kama umejifunza kitu comment maneno “NITAJARIBU TENA Mpaka Kieleweke”
© Cantona Group Ltd


Discover more from cantonadigital

Subscribe to get the latest posts sent to your email.

Leave a Reply