Ni kweli, Kuna MENGI mazuri ambayo umefanya bidii ili uyapate ila UMEYAKOSA. _____Ila usisahau kuwa, kuna mengi MAZURI ambayo haujafanya bidii yoyote ile kuwa nayo… …ila MUNGU… Read more “Tumia mbinu mpya”
Month: July 2023
Kanuni 3 zakukufana wa pekee kazini.
Kanuni 3 Kubwa Zitakazo Kufanya Wapekee Kazini. 1. Sitafuti Kuwa Bize, Natafuta Kupata Matokeo. ____Peter Drucker, mtaalamu wa mambo ya menejimenti anasema kuwa… “Hakuna kitu kinachopoteza muda… Read more “Kanuni 3 zakukufana wa pekee kazini.”
Effective sales process
Hatua 7 Za Kufuata Ili Upate Wateja Wengi (Effective Sales Process) ____Hatua Ya Kwanza: PROSPECTING (Formula Ya Siri Ya Kuchagua Wateja Sahihi) Kwenye hatua hii unatakiwa kuchagua… Read more “Effective sales process”
Kuwa Makini
Unapokuwa kwenye MAUMIVU YA MOYO ni muhimu sana kuwa… …makini kwani ni rahisi kujikuta UNAELEKEZA hasira zako kwa wasiohusika. Kuna watu wengi sana wakati wanapitia maumivu yaliyosababishwa… Read more “Kuwa Makini”
Muda wako Unakuja
Kuna wakati kwenye maisha unaweza kuona kama vile kuna watu ambao wana uwezo MDOGO kuliko wewe ila wamepewa NAFASI kubwa unayostahili wewe. ____Ukijipima kimoyomoyo unasema… …“yaani hata… Read more “Muda wako Unakuja”
Fanya safe Exit
Ukiamua kuacha na MTU, OFISI, CHAMA au MBIA wako, jifunze kufanya “Safe Exit”. Yaani jitahidi kupunguza madhara ya yanayotokana na kuachana kwenu pale inapowezekana. Dunia ina mambo… Read more “Fanya safe Exit”