Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Month: July 2023

Usihangaike sana

Kama na wewe ni mfanyabiashara ambaye unahangaika sana kuweza kuuza bidhaa au huduma yako . Imefika kipindi mpaka kodi ya ofisi imebidi uikope au utoe kwenye mshahara… Read more “Usihangaike sana”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Kuna watu wengi sana wanateseka na “Rejection Trauma”.

____Hawa ni wale watu ambao waliwahi KUKATALIWA huko nyuma. Wengine waliwahi kukataliwa na WAZAZI wao wakiwa wadogo…. …na yamkini hadi leo hawamjui BABA YAO. Wengine ni wale… Read more “Kuna watu wengi sana wanateseka na “Rejection Trauma”.”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Jiandae kisaikolojia;

JIANDAE kisaikolojia; watu wengi watakuwa tayari KUKUSAIDIA ili mradi kama utaendelea kuwa MDOGO. ____Usisahau kuwa, ukianza kuonesha DALILI za kuwa MKUBWA kama wao… …baadhi yao WATAKUGEUZA kuwa… Read more “Jiandae kisaikolojia;”

July 14, 2023 by CantonaDigital

.Furaha ya wengi wenye UDHAIFU ni kuona mwenye NGUVU anapata SHIDA.

Ndivyo ilivyo kwa wengi… …FURAHA ya wengi wenye UDHAIFU ni kuona mwenye NGUVU anapata SHIDA. Yaani, SHEREHE ya wengi WASIO NACHO ni kuona mwenye kitu ANAPOTEZA. Akili… Read more “.Furaha ya wengi wenye UDHAIFU ni kuona mwenye NGUVU anapata SHIDA.”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Vitu 5 Muhimu Ambavyo Vinatokea Katika Muda Wa Maandalizi:

____i. Anatumia Huu Muda Kukujenga Kitabia (Character): Uwezo wa kuchukuliana na watu, kusamehe, uaminifu wako wa kifedha, unauchukuliaje mwanzo mdogo n.k. Kuna tabia utahitaji uziondoe, utaona unaanza… Read more “Vitu 5 Muhimu Ambavyo Vinatokea Katika Muda Wa Maandalizi:”

July 14, 2023 by CantonaDigital

UNATISHWA MZIGO AMBAO HAUSTAHILI.

Kuna wakati watu watakuomba MSAADA kwenye eneo ambalo HAWAJUI kama na wewe UNA CHANGAMOTO nalo sana. Mara nyingi ikitokea hivyo, unaweza kujikuta UNAKASIRIKA. Aidha kwa sababu unaona… Read more “UNATISHWA MZIGO AMBAO HAUSTAHILI.”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Usiingie kwenye mtego

Ni ngumu sana KUSHINDA vita ya KUMPIGANIA mtu ambaye yeye mwenyewe AMEFANYA MAAMUZI ya KUONDOKA. Kuna wakati lazima UPIME, aidha utumie nguvu zako kufanya bidii KUMBAKIZA au… Read more “Usiingie kwenye mtego”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Usikubali kufa kabla ya kuyaishi maono yako.

Mungu alimuumbia kila mtu hazina ya kipekee ambayo kwa hiyo anaweza kuyafurahia maisha yake hapa duniani. ____Hazina hiyo haihitaji kuwa na fedha ili uweze kuipata ila inahitaji… Read more “Usikubali kufa kabla ya kuyaishi maono yako.”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Kila mtu ana njia yake kuonyesha maumivu

Kila mtu ana NJIA YAKE ya kuonesha MAUMIVU. Kuna wengine wakiwa kwenye maumivu huwa WANAKAA KIMYA kabisa hawataki kuongea na mtu. Yaani, huwa wanajitenga na hawataki kuwasiliana… Read more “Kila mtu ana njia yake kuonyesha maumivu”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Aina tatu za marafiki

Aina 3 Za Marafiki (Sicho Unachofikiria) ____1. Friendship Of Utility Hawa ni watu ambao wako karibu yetu kwa sababu kuna vitu ambavyo sisi tunafaidika kutoka kwao… …na… Read more “Aina tatu za marafiki”

July 14, 2023 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...