Nakuombea Mungu akukutanishe na mtu aliyebeba majibu yako ambaye
Wakati wengine wote wamekukata yeye atakupokea, wakati wengine wote wanapokuona huna maana yeye ataiona maana ya uwepo wako
Haya ni maombi yangu kwako leo, kumbuka wapelelezi kwasababu walikuwa wamebeba majibu ya Rahabu walilazimika kulala kwenye nyumba ya kahaba
Tena kahaba ambaye alikuwa ametengwa na wazazi wake, ndugu zake.Na fahamu kuwa wale wapelelezi wangeweza kufikia kwa mtu mwingine
Au wangeweza kukata kufikia kwa kahaba,lakini kwasababu walikuwa wamebeba majibu ya Rahabu walilazimika kumsaidia rahabu na madhaifu yake.
Mungu akuinulie huyo mtu iwe ni ofisini kwako, kwenye biashara,nimekuombea na huyo mtu atakupenda, atakutambulisha,atakubeba pamoja na madhaifu yako
Kama unaamini kwamba ujumbe huu nj kwa ajili yako comment “Bwana niinulie mtu aliyebeba majibu yangu na kwa neema yako nikutanishe nae” na itakuwa
Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.
Bwana niinulie mtu aliyebeba majibu yangu na kwa neema yako nikutanishe nae. Ameen
LikeLiked by 1 person
Mungu akutane na ombi lako, Elisabeth alikua jibu maana signal ilimpata vizuri Mariamu.
LikeLike