Siku moja Esau akaja kutoka nyikani, naye alikuwa amechoka sana,akamwambia Yakobo, Tafadhali,naomba chakula nile kwa kuwa ninazimia mimi.Yakobo akamwambia Kwanza niuzie leo haki yako ya mzaliwa wa… Read more “Usiuze uridhi wako sababu ya njaa.”
Month: August 2019
Usitoe kafara,ili upate nguvu za kiroho,Mungu huchukia hilo.
Watu hutoa kafara ili kupata nguvu za kiroho,na kwa njia hiyo kweli wanapata nguvu sawa sawa na neno kutoka Waebrania 9;13 lakini neno linasema anaewafanyia kafara yaani… Read more “Usitoe kafara,ili upate nguvu za kiroho,Mungu huchukia hilo.”
Tumia muda wako vizuri na utengeneze njia yako na Mungu hauta haibishwa wakati wa majaribu.
Wakati Meshaki,Shadrack na Abednego wanatupwa katika tanuru la Moto sio kwamba ule moto ulikua hauogopeshi ulikua unatisha sana lakini walikua wanamuamini Mungu wakijua atawaokoa,wakati Daniel anatupwa kwenye… Read more “Tumia muda wako vizuri na utengeneze njia yako na Mungu hauta haibishwa wakati wa majaribu.”
Unapokubali kupitishwa jangwani unaandaliwa kuwa mtu bora.
Ni rahisi zaidi ngamia kupenya tundu la sindano, kuliko tajiri kuingia katika ufalme wa Mungu.Neno hili linatafsiriwa tofauti sana,lakini maana ya neno hilo ni hii hapa tajiri… Read more “Unapokubali kupitishwa jangwani unaandaliwa kuwa mtu bora.”
Shetani humlenga yule mtu ambaye Mungu ameweka jambo kubwa ndani mwake.
Mungu alipoumba ulimwengu alichagua watu wake na kuwapa urithi.Watu hao ndio hupigwa vita na njia yao kuwa ngumu sana kufanikiwa.Watu hao ni wewe unae waza mambo makubwa… Read more “Shetani humlenga yule mtu ambaye Mungu ameweka jambo kubwa ndani mwake.”
Mungu amekuandaa usitie hofu,nyakati ngumu unazopitia ni sehemu ya maandalizi.
Toka ulipo zaliwa Mungu alikuandalia maisha yenye baraka na mafanikio.Baraka zako zimefichwa gizani.Kuna mtu kazificha gizani na ndio maana neno linasema nitakupa hazina zilizofichwa gizani.Ukisimama kwa Mungu… Read more “Mungu amekuandaa usitie hofu,nyakati ngumu unazopitia ni sehemu ya maandalizi.”
Trusting God for a child,facing critism from society,When you’re not able to carry pregnancy to term.
It’s desire of any woman to carry her on baby,but sometime it become impossible and the waiting is long, especially for married women who are challenging traditional… Read more “Trusting God for a child,facing critism from society,When you’re not able to carry pregnancy to term.”
Failure is sometimes part of the path to reach your destiny!!!
The richest man in China Jack ma said ” I FAILED 3 times at University. I applied 30 times to get a job but I’ve always been… Read more “Failure is sometimes part of the path to reach your destiny!!!”
No couple is made up of two people with equal skills.
I know we live in a time of equality, but equality in a relationship doesn’t mean dividing everything down the middle. No couple is made up of… Read more “No couple is made up of two people with equal skills.”
How to know if “HE” is the one.
Let me narrow down this signs for you. (1)The approach. It’s very important to realize the importance of every person you meet.And if it’s that new relationship… Read more “How to know if “HE” is the one.”