Kuna kanuni kadhaa ambazo kwa hizo tunaweza kupata majibu maana hakika Mungu anajibu Maombi.
- Omba mwenyewe
Inapo fika hatua ya kuombewa hapo unaongezewa nguvu au kupewa msaada ila msaada wa kwanza ni wewe mwenyewe kujiombea.
Yohana 16:23-24
Yohana 13:26
Yohana14:14 - Muombe
mwombe Mungu
Baba kwa jina la
Yesu
Roho mtakatifu
hutusaidia
kuomba“`
Rum 8:26 - Usimuombe
Yesu ila mwombe Mungu kwa kutumia jina la Yesu KristoLuk 1:38. Tazama mimi ni mjakazi wa Bwana.*Tunaomba kwa Mungu baba kupitia Jina la Yesu KristoMatendo 1:12-14 Na si kwa kupitia bikila Maria, au watakatifu wowote. - Kaa ndani ya Kristo
Yohn15:7
Ninyi mkikaa ndani yangu na Maneno yangu yakikaa ndani yenu, Ombeni neno lolote nanyi mtatendewa. Kukaa ndani ya Kristo kunatokana na kusamehewa na kuoshwa dhambi na damu ya Yesu.
1 Yohna 1:7.
Imethibitishwa kwenye maandiko Zaburi103:3
Mungu anasamehe dhambi
1 Yohana 1:9-Ukisamehewa unaweza sasa kukaa ndani ya Kristo.
Soma Habari ya Samson na Delila, alimwamini sana kumbe alitaka ajue Siri yake, kwasababu alimwamin hakusita kusema, nandiyo lilikua anguko lakeUsimwamini sana binadamu mwenzako.
Binadamu hubadilika wakati wowote nakuwa mnyama hatari.
Mtu anaweza kujisogeza kwako kujifanya mwema kumbe analengo baya.
Unapokuwa unataka kufanya kitu,usiseme kwa kila mtu siyo kila mtu anafurahia mafanikio yako
Wanajifanya kujisogeza wajue mipango yako lkn mwsho wa siku wanayaaribu malengo yako.
#Iposiku #Getinspired #CantonaJosephMotivates
.

Discover more from cantonadigital
Subscribe to get the latest posts sent to your email.