Shetani alimkosanisha mwanadamu na Mungu alijua Mungu yuko tayari kufanya mambo makubwa juu ya mtu ampendaye,yuko tayari kumpa chochote atakacho omba.shetani alimwambia Eva utawala wa Mungu sio… Read more “Mungu ana mipango mikubwa na mwanadamu.”
Month: August 2019
Mungu anaatumia vilivyo vidhaifu.
Mungu alimchagua Musa aende kuwaokoa wana wa Israel kutoka utumwani lakini Musa alikua na visingizio vingi; akamwambia Mungu mimi sijui kuongea,(Musa alikua na kigugumizi) pia alikua muoga… Read more “Mungu anaatumia vilivyo vidhaifu.”
Maneno yana nguvu.
Maneno yatokayo kwenye kinywa chako yana mchango mkubwa wa kubadili maisha yako,kinywa kinaweza kuumba na kinywa kinaweza kuua,Mungu alifanya uumbaji mkubwa kwa kutumia Maneno alisema na iwe… Read more “Maneno yana nguvu.”
Mungu anaweza akatumia ndoto kufikisha ujumbe.
Kuna njia mbalimbali ambazo Mungu hutumia kuongea na watu,ndoto ni moja kati ya njia zake,unaweza pokea ujumbe kupitia ndoto,Mungu hutumia ndoto kukuonesha jambo fulani ukiota mnyama au… Read more “Mungu anaweza akatumia ndoto kufikisha ujumbe.”
Suleimani alikua na wake 700 na masuria 300
Neno linasema Suleimani alikua na wake 700 na masuria 300 lakini wake hao walimfanya amuache Mungu wa baba yake Daudi Mungu aishiye milele na kufwata miungu ya… Read more “Suleimani alikua na wake 700 na masuria 300”
Unaweza ukateua marafiki lakini jirani ni Mungu anamteua shirikiana naye.
Basi Mtu mmoja alitembelewa na rafiki yake usiku wa manane,rafiki huyo alikua na njaa alitaji usaidizi.Mtu huyo akatoka na kwenda kumgongea mlango rafiki yake jirani ili ampe… Read more “Unaweza ukateua marafiki lakini jirani ni Mungu anamteua shirikiana naye.”
Gharika Nuhu akalima shamba la mizabibu.
Baada ya Gharika Nuhu akalima shamba la mizabibu,siku moja akanywa mzabibu akalewa,akawa uchi Shem na Yefeti wakamfunika nguo. Neno hili lina maana na ni ufunuo Nuhu ndiye… Read more “Gharika Nuhu akalima shamba la mizabibu.”
Pepo anapomtoka mtu.
Pepo mchafu amtokapo mtu hukimbilia mahali pasipo na maji akitafuta mahali pa kupumzika. Neno hili lina maana fulani ambayo itakuwa msaada kwako kama ukielewa vyema Unaposikia habari… Read more “Pepo anapomtoka mtu.”
Kila tatizo linahitaji ufumbuzi tofauti.
Neno la Mungu usilisome kama hadithi,unapo omba lazima ujue una muomba nani na ananguvu ipi. Ukikariri neno la Mungu huwezi pokea ni kama naamani alikariri kwamba akishikwa… Read more “Kila tatizo linahitaji ufumbuzi tofauti.”
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja.
Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema, Tutakula chakula chetu, na kuvaa nguo zetu wenyewe, lakini tuitwe tu kwa jina lako; utuondolee aibu yetu… Read more “Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mume mmoja.”