Afrika Leo Alfajiri -Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Kikosi cha kwanza cha polisi wa Kenya kiliwasili katika mji mkuu wa Haiti siku ya Jumanne kuanza misheni… Read more “Wingu la Shaka,Jeshi Polisi likiwasili Haiti.”
Tag: zanzibar
Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.
Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Mke wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewashutumu maafisa wakuu wa jeshi kwa kujaribu kupanga mapinduzi dhidi ya… Read more “Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.”
Sehemu ya Bunge ya Seneti Nchini Kenya imeteketezwa.
Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph SEHEMU ya Bunge la Seneti imeteketezwa Jumanne, Juni 25, 2024 na kundi la vijana kufuatia maandamano yanayoendelea maeneo tofauti… Read more “Sehemu ya Bunge ya Seneti Nchini Kenya imeteketezwa.”
Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea Waandamanaji mjini Nairobi wamesema wataelekea kwenye ukumbi wa Bunge la Taifa huku kukiwa na… Read more “Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.”
Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 WITO wa kudumisha shinikizo za kisiasa ili mabadiliko zaidi yafanyiwe Mswada wa Fedha wa 2024 ni miongoni mwa sababu zilizofanya upinzani kukataa kuidhinisha… Read more “Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.”
Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka
Chama tawala wa ANC kimepata asilimia 40 ya kura, tofauti na asilimia 57.5 katika uchaguzi wa mwaka 2019. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewahi kupinga wazo… Read more “Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka”
Meneja wa Arsenal Mikel Arteta atuzwa.
KIUNGO mahiri wa Real Madrid Jude Victor William Bellingham ametwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ligi K uu ya Uhispania maarufu kama La Liga. Hayo yalijiri huku… Read more “Meneja wa Arsenal Mikel Arteta atuzwa.”
Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.
Picha:Radio Fortune Africa. KAMPUNI ya Umeme Kenya (KPLC) imetangaza kuwa wateja hawataweza kulipia au kununua umeme pamoja na kupokea huduma nyingine kuanzia Jumapili hii hadi Jumatatu ijayo.… Read more “Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.”
Mji wazima Tanariver Nchini Jua linapotua.
Picha:Radio Fortune Africa MJI wa Madogo, ambao ni wa pekee katika Kaunti ya Tana River ambapo biashara zimekuwa zikiendelezwa kwa muda wa saa 24, sasa huzima pindi… Read more “Mji wazima Tanariver Nchini Jua linapotua.”
Usimtimue mkeo.
KADHI Mkuu Nchini Kenya ametoa maagizo ya kuzuia mwanamume kumfukuza mkewe kutoka kwenye nyumba yao ya ndoa au kuchukua kitu chochote, hadi kesi kuhusu mgogoro wa mali… Read more “Usimtimue mkeo.”