Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya ulimwengu kutaarifiwa kuwa Papa Francis amefariki asubuhi ya Jumatatu, Kadinali Mmarekani , ambaye hajatambuliwa na wengi duniani ,… Read more “Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa”
Tag: writing
Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa utawala wa kijeshi, Kapteni Ibrahim Traoré,… Read more “Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso”
Mpango mpya wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza wapendekezwa
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa mkuu wa Palestina anayefahamu mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas ameiambia BBC, wapatanishi wa Qatar na… Read more “Mpango mpya wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza wapendekezwa”
Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana dhidi ya sera za elimu za Trump
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya marais 100 wa vyuo vikuu na mashirika ya elimu wamechapisha taarifa ya pamoja siku ya Jumanne kupinga sera… Read more “Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana dhidi ya sera za elimu za Trump”
Papa Francis afariki dunia, Vatican yatangaza
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Imechapishwa: 21/04/2025 – 10:56Imehaririwa: 21/04/2025 – 11:13 Dakika… Read more “Papa Francis afariki dunia, Vatican yatangaza”
Mwanasiasa wa Afrika Kusini alaaniwa kwa kumtembelea mchungaji anayetuhumiwa kwa ubakaji na ulaghai
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa wa ngazi ya juu katika moja ya vyama vikubwa vya kisiasa nchini Afrika Kusini amelaaniwa kwa kumtembelea mchungaji aliyekimbilia… Read more “Mwanasiasa wa Afrika Kusini alaaniwa kwa kumtembelea mchungaji anayetuhumiwa kwa ubakaji na ulaghai”
Makosa yalisababisha kuuawa wahudumu wa dharura Gaza – uchunguzi wa IDF
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Israel limesema “makosa ya kiweledi” yalisababisha kuuawa kwa wafanyakazi 15 wa huduma za dharura huko Gaza mwezi uliopita.… Read more “Makosa yalisababisha kuuawa wahudumu wa dharura Gaza – uchunguzi wa IDF”
Mkuu wa Pentagon alichapisha kwenye kundi la pili taarifa nyeti juu ya mipango ya kuishambulia Yemen
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth alitoa maelezo juu ya shambulio la Machi dhidi ya Waasi wa Yemen wanaosaidiwa… Read more “Mkuu wa Pentagon alichapisha kwenye kundi la pili taarifa nyeti juu ya mipango ya kuishambulia Yemen”
Vikosi vya SADC kuondoka DRC kupitia Rwanda hadi Tanzania
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) sasa itawaondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo… Read more “Vikosi vya SADC kuondoka DRC kupitia Rwanda hadi Tanzania”
Kwanini baadhi ya watu wazima hunywa maziwa ya mama?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mara nyingi huitwa ” kimiminika cha dhahabu”. Wataalamu wengine hata wanasema ni chanzo cha “nguvu za kichawi.” Wanasayansi wanakubali kwamba… Read more “Kwanini baadhi ya watu wazima hunywa maziwa ya mama?”