Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: usa

Radio Fortune Africa -Bao la Asubui.

Na Cantona Joseph HUENDA Kenya ikanyimwa mikopo baada ya kushushwa hadhi kwenye viwango vya Shirika la Kimataifa la kutathmini Madeni ya Mataifa na Utoaji Mikopo, Moody’s. Ripoti… Read more “Radio Fortune Africa -Bao la Asubui.”

July 10, 2024 by CantonaDigital

Wingu la Shaka,Jeshi Polisi likiwasili Haiti.

Afrika Leo Alfajiri -Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Kikosi cha kwanza cha polisi wa Kenya kiliwasili katika mji mkuu wa Haiti siku ya Jumanne kuanza misheni… Read more “Wingu la Shaka,Jeshi Polisi likiwasili Haiti.”

June 26, 2024 by CantonaDigital

Sehemu ya Bunge ya Seneti Nchini Kenya imeteketezwa.

Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph SEHEMU ya Bunge la Seneti imeteketezwa Jumanne, Juni 25, 2024 na kundi la vijana kufuatia maandamano yanayoendelea maeneo tofauti… Read more “Sehemu ya Bunge ya Seneti Nchini Kenya imeteketezwa.”

June 25, 2024 by CantonaDigital

Rais Ruto wa Kenya aombwa na Maskofu Katoliki kutotia saini mswada tata wa fedha.

Afrika Leo Jioni -Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph MAASKOFU wa Kanisa Katoliki Nchini wamemhimiza Rais William Ruto kutotia saini Mswada wa Fedha wa 2024 ili kutoa… Read more “Rais Ruto wa Kenya aombwa na Maskofu Katoliki kutotia saini mswada tata wa fedha.”

June 25, 2024 by CantonaDigital

Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.

Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”

June 21, 2024 by CantonaDigital

Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.

Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 WITO wa kudumisha shinikizo za kisiasa ili mabadiliko zaidi yafanyiwe Mswada wa Fedha wa 2024 ni miongoni mwa sababu zilizofanya upinzani kukataa kuidhinisha… Read more “Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.”

June 20, 2024 by CantonaDigital

Usimtimue mkeo.

KADHI Mkuu Nchini Kenya ametoa maagizo ya kuzuia mwanamume kumfukuza mkewe kutoka kwenye nyumba yao ya ndoa au kuchukua kitu chochote, hadi kesi kuhusu mgogoro wa mali… Read more “Usimtimue mkeo.”

May 27, 2024 by CantonaDigital

Wimbi la Siasa Afrika kusini.

Kinachojiri uchaguzi mkuu wa Afrika KusiniRaia wa Afrika Kusini wanaelekea kwenye uchaguzi mkuu wenye ushindani mkubwa kuliko wowote ule ndani ya miongo mitatu, huku chama tawala kikiwania… Read more “Wimbi la Siasa Afrika kusini.”

May 25, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar