Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: tanga

Radio Fortune Africa-Umoja Mataifa.

Na Cantona Joseph Ujumbe wa kulinda amani wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya congo utasitisha uondoaji wake, bila ratiba iliyowekwa kwa awamu inayofuata baada… Read more “Radio Fortune Africa-Umoja Mataifa.”

July 10, 2024 by CantonaDigital

Ilham Omar,mbunge wa Marekani amelaumu hazina ya fedha IMF,kwa ushuru inayolimbikiziwa wakenya.

Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa. Na Cantona Joseph MBUNGE wa Amerika Ilhan Omar amelaumu Hazina ya Fedha ya Kimataifa (IMF) kwa misururu ya ushuru iliyolimbikiziwa Wakenya katika… Read more “Ilham Omar,mbunge wa Marekani amelaumu hazina ya fedha IMF,kwa ushuru inayolimbikiziwa wakenya.”

June 27, 2024 by CantonaDigital

Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.

Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Mke wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewashutumu maafisa wakuu wa jeshi kwa kujaribu kupanga mapinduzi dhidi ya… Read more “Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.”

June 26, 2024 by CantonaDigital

Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.

Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”

June 21, 2024 by CantonaDigital

Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.

Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea Waandamanaji mjini Nairobi wamesema wataelekea kwenye ukumbi wa Bunge la Taifa huku kukiwa na… Read more “Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.”

June 20, 2024 by CantonaDigital

Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka

Chama tawala wa ANC kimepata asilimia 40 ya kura, tofauti na asilimia 57.5 katika uchaguzi wa mwaka 2019. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa  amewahi kupinga wazo… Read more “Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka”

June 1, 2024 by CantonaDigital

Meneja wa Arsenal Mikel Arteta atuzwa.

KIUNGO mahiri wa Real Madrid Jude Victor William Bellingham ametwaa tuzo ya Mwanasoka Bora wa Ligi K uu ya Uhispania maarufu kama La Liga. Hayo yalijiri huku… Read more “Meneja wa Arsenal Mikel Arteta atuzwa.”

May 30, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar