Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: tanariver

Habari za Afrika Leo Mchana.

Radio Fortune Africa -Afrika Leo Mchana https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Natumai U Buheri wa Afya Popote pale Duniani,Karibu Katika Afrika Leo Mchana Jina Langu Cantona Joseph Moja kwa moja,Netanyahu atetea… Read more “Habari za Afrika Leo Mchana.”

July 25, 2024 by CantonaDigital

Babu Owino aagizwa kufika katika makao makuu DCI Nchini Kenya kuhojiwa.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameitwa kufika mbele ya wapelelezi wa Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) kuhojiwa kuhusiana… Read more “Babu Owino aagizwa kufika katika makao makuu DCI Nchini Kenya kuhojiwa.”

July 23, 2024July 23, 2024 by CantonaDigital

Umri sahihi wa kupata jiko-Marriage Mathematics.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa BAO LA ASUBUI – NA CANTONA JOSEPH UMRI GANI UNAFAA KWA KIJANA KUOA? Umri mzuri wa kuoa au kuolewa ni pale utakapokuwa umekomaa… Read more “Umri sahihi wa kupata jiko-Marriage Mathematics.”

July 23, 2024 by CantonaDigital

Magavana wa kauti 6 Pwani ya Kenya walenga Uropa kwa maendeleo.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph ZIARA ya magavana sita wa Pwani nchini Italia imewavunia wawekezaji wa kimataifa ambao watakita kambi nchini Kenya mwezi ujao. Gavana… Read more “Magavana wa kauti 6 Pwani ya Kenya walenga Uropa kwa maendeleo.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.

Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”

July 17, 2024 by CantonaDigital

Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.

Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.

Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”

June 21, 2024 by CantonaDigital

President Ruto to engage 3 Governors on sale and challenges of Muguka

President William Ruto of Kenya engaged the governors of Mombasa, Kilifi and Taita-Taveta counties on their concerns and challenges in the sale of muguka. Picture:StateHouse Nairobi Governors… Read more “President Ruto to engage 3 Governors on sale and challenges of Muguka”

May 28, 2024May 28, 2024 by CantonaDigital

Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.

Picha:Radio Fortune Africa. KAMPUNI ya Umeme Kenya (KPLC) imetangaza kuwa wateja hawataweza kulipia au kununua umeme pamoja na kupokea huduma nyingine kuanzia Jumapili hii hadi Jumatatu ijayo.… Read more “Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.”

May 28, 2024 by CantonaDigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar