https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”
Tag: pretoria
Mvutano kati ya Naibu Rais Nchini Kenya,Gachagua na Mbunge wa Mathira Wamumbi.
Na Cantona Joseph Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa MBUNGE wa Mathira Eric Wamumbi amedai kuwa tofauti za kisiasa kati yake na Naibu Rais Rigathi Gachagua zilianza mwaka… Read more “Mvutano kati ya Naibu Rais Nchini Kenya,Gachagua na Mbunge wa Mathira Wamumbi.”
Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka
Chama tawala wa ANC kimepata asilimia 40 ya kura, tofauti na asilimia 57.5 katika uchaguzi wa mwaka 2019. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewahi kupinga wazo… Read more “Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka”