Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: premier-league

Mkuu wa Pentagon alichapisha kwenye kundi la pili taarifa nyeti juu ya mipango ya kuishambulia Yemen

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Ulinzi wa Marekani, Pete Hegseth alitoa maelezo juu ya shambulio la Machi dhidi ya Waasi wa Yemen wanaosaidiwa… Read more “Mkuu wa Pentagon alichapisha kwenye kundi la pili taarifa nyeti juu ya mipango ya kuishambulia Yemen”

April 21, 2025April 21, 2025 by CantonaDigital

Vikosi vya SADC kuondoka DRC kupitia Rwanda hadi Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) sasa itawaondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo… Read more “Vikosi vya SADC kuondoka DRC kupitia Rwanda hadi Tanzania”

April 18, 2025 by CantonaDigital

Kwanini baadhi ya watu wazima hunywa maziwa ya mama?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mara nyingi huitwa ” kimiminika cha dhahabu”. Wataalamu wengine hata wanasema ni chanzo cha “nguvu za kichawi.” Wanasayansi wanakubali kwamba… Read more “Kwanini baadhi ya watu wazima hunywa maziwa ya mama?”

April 18, 2025April 18, 2025 by CantonaDigital

Hamas yakataa rasmi pendekezo la Israel la kusitisha mapigano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Hamas imekataa rasmi pendekezo la hivi karibuni la Israel la kusitisha mapigano, ikisema iko tayari kujadili mara moja makubaliano ambayo… Read more “Hamas yakataa rasmi pendekezo la Israel la kusitisha mapigano”

April 18, 2025 by CantonaDigital

Silaha za Marekani zilizosalia Afghanistan ziliuzwa kwa vikundi vya wanamgambo, vyanzo vyaiambia BBC

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Silaha nusu milioni zilizopatikana na Taliban nchini Afghanistan zimepotea, kuuzwa au kusafirishwa kwa makundi ya wapiganaji, duru zimeiambia BBC –… Read more “Silaha za Marekani zilizosalia Afghanistan ziliuzwa kwa vikundi vya wanamgambo, vyanzo vyaiambia BBC”

April 18, 2025 by CantonaDigital

Marekani kuzitoza ada kubwa zaidi meli za China

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Utawala wa Trump umefichua mpango wake wa kutoza ada kubwa za bandarini kwa meli za China wakati inajaribu kufufua ujenzi… Read more “Marekani kuzitoza ada kubwa zaidi meli za China”

April 18, 2025 by CantonaDigital

Je, kurudi DR Congo kwa Joseph Kabila kuna maana gani wakati huu wa vita?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa zamani wa DR Congo, Joseph Kabila ameahidi kurejea Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo baada ya kutokuwepo kwa miaka… Read more “Je, kurudi DR Congo kwa Joseph Kabila kuna maana gani wakati huu wa vita?”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Jinsi Urusi inavyonyakua nyumba za raia wa Ukraine huko Mariupol

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mamlaka ya Urusi imeteka maelfu ya makazi kutoka kwa wakaazi wa Ukraine waliotorioka mjini Mariupol, uchunguzi wa BBC Verify umegundua… Read more “Jinsi Urusi inavyonyakua nyumba za raia wa Ukraine huko Mariupol”

April 17, 2025 by CantonaDigital

Tathmini ya maandamano ya Msumbiji mwaka jana – ripoti ya Amnesty International

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vikosi vya usalama vya Msumbiji vimetuhumiwa kutumia nguvu kupita kiasi katika juhudi za kukabiliana na maandamano ya muda mrefu, hali… Read more “Tathmini ya maandamano ya Msumbiji mwaka jana – ripoti ya Amnesty International”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Mwanamke anafasiriwa kwa jinsia ya kuzaliwa- Mahakama

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama Kuu ya Uingereza imeamua kwamba mwanamke, kwa mujibu wa sheria, ni mtu aliyezaliwa akiwa na jinsia ya kike. Majaji… Read more “Mwanamke anafasiriwa kwa jinsia ya kuzaliwa- Mahakama”

April 16, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...