Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu wanalia na kukumbatiana karibu na klabuya burudani ya Jet Set huko Santo Domingo Maafisa wa uokozi katika Jamhuri ya… Read more “Watu 79 wafariki baada ya klabu ya burudani kuporomoka huko Jamhuri ya Dominican”
Tag: premier-league
Viboko 50 wafa kutokana na ugonjwa wa kimeta DRC
Virunga mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni makaazi kwa theluthi moja ya sokwe wa milimani waliosalia na zaidi ya viboko 1,000. Takriban viboko 50 na… Read more “Viboko 50 wafa kutokana na ugonjwa wa kimeta DRC”
Kipenga Cha Michezo-Je, Klabu ya Simba ya Tanzania kulivuka zimwi la ‘Mwakarobo’ leo?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa “Simba ajiandae kutoka, abakie Mwakarobo, tuendele kubakia na lile jina, na pale Mwakarobo hawezi kutoka, ni Mwakarobo, nusu haiwezekani, Simba… Read more “Kipenga Cha Michezo-Je, Klabu ya Simba ya Tanzania kulivuka zimwi la ‘Mwakarobo’ leo?”
Arsenal ‘yaigaragaza’ 3-0 Madrid, matokeo yanayoipa England timu 5 Mabingwa Ulaya
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Arsenal wamepata ushingi mnono, mtamu na wakushangaza wa mabao 3-0 dhidi ya Real Madrid katika mchezo wa mkondo wa kwanza… Read more “Arsenal ‘yaigaragaza’ 3-0 Madrid, matokeo yanayoipa England timu 5 Mabingwa Ulaya”
Kipenga Cha Michezo-Haaland asaini mkataba mpya Man City
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mshambuliaji wa Manchester City Erling Haaland ametia saini mkataba mpya utakaomuwezesha kusalia katika uwanja wa Etihad hadi 2034. Raia huyo… Read more “Kipenga Cha Michezo-Haaland asaini mkataba mpya Man City”
Kipenga cha Michezo-Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Chelsea wataka £65m kwa ajili ya Nkunku
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Chelsea itataka ada ya pauni milioni 65 kwa mshambuliaji Christopher Nkunku, 27, huku Bayern Munich ikimtaka mchezaji huyo wa kimataifa… Read more “Kipenga cha Michezo-Tetesi za soka Ulaya Jumatano: Chelsea wataka £65m kwa ajili ya Nkunku”
Hawa Nottingham watapatia Liverpool kipigo kingine walivyofanya msimu ukianza?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Anthony Elanga WA Nottingham Forest asherehekea na mwenzake timuni Chris Wood baada ya kufunga bao dhidi ya Tottenham Disemba 26,… Read more “Hawa Nottingham watapatia Liverpool kipigo kingine walivyofanya msimu ukianza?”
Kipenga cha Michezo-13-01-2025-RFA
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: AC Milan, Inter Milan wamuwania Walker Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mlinzi wa kulia wa Uingereza Kyle Walker, 34, anatazamiwa… Read more “Kipenga cha Michezo-13-01-2025-RFA”
Kipenga cha Michezo
Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Aston Villa waongeza dau kwa mshambuliaji Donyell Malen Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Aston Villa wameongeza dau la kumnunua mshambuliaji… Read more “Kipenga cha Michezo”
Kipenga Cha Michezo-09-01-2025
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Manchester United wamefikia mkataba mpya na Amad Diallo, Kobbie Mainoo na Alejandro Garnacho kusalia Old Trafford, Arsenal wanalenga kumnunua Bryan… Read more “Kipenga Cha Michezo-09-01-2025”