Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baraza la Bunge la juu la Urusi, limeidhinisha mkataba wa kimkakati kati ya nchi hiyo na Iran. Mkataba huo ni… Read more “Bunge la Urusi laidhinisha mkataba wa miaka 20 na Iran”
Tag: premier-league
Real Madrid ina shughuli pevu ya kufuzu nusu fainali dhidi ya Arsenal
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mabingwa mara 15 wa michuano ya klabu bingwa barani ulaya Real Madrid ni sharti wafanye maajabu hii leo usiku katika… Read more “Real Madrid ina shughuli pevu ya kufuzu nusu fainali dhidi ya Arsenal”
Waasi wa RSF watangaza serikali mbadala Sudan
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waasi wametangaza kuundwa kwa serikali mbadala, katika nchi ambayo imekuwa vitani kwa miaka miwili ambavyo vimesababisha mzozo mkubwa wa kibinadamu… Read more “Waasi wa RSF watangaza serikali mbadala Sudan”
Barcelona na PSG zatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ‘mbinde’
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Barcelona na Paris Saint-Germain (PSG) haiku wa kuamkia leo zimetinga hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, licha… Read more “Barcelona na PSG zatinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa ‘mbinde’”
Tutakulinda kama Wakenya wengine, polisi wamjibu Gachagua
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba IDARA ya Polisi imemtaka aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua kutoa… Read more “Tutakulinda kama Wakenya wengine, polisi wamjibu Gachagua”
Guu ndani, guu nje ndio mchezo wa ODM na serikali
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa VIONGOZI wa ODM wanaendelea kuonyesha mgawanyiko mkubwa huku mguu moja ukionekana ndani ya serikali na mwingine ukiikosoa serikali ushirikiano wa… Read more “Guu ndani, guu nje ndio mchezo wa ODM na serikali”
Demokrasia yayumba Afrika Mashariki Chadema ikizuiwa kushiriki uchaguzi Tanzania
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa Chadema Tundu Lissu katika mkutano wa kisiasa awali. Picha|Maktaba DAR ES SALAM, Tanzania CHAMA kikuu cha upinzani nchini… Read more “Demokrasia yayumba Afrika Mashariki Chadema ikizuiwa kushiriki uchaguzi Tanzania”
Je, silaha hii ya India imeiweka miongoni mwa mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa India imetangaza kuwa imefanikiwa kufanyia majaribio mfumo unaotumia teknolojia ya leza kuharibu ndege zinazoshukiwa kuwa zisizo na rubani na makombora… Read more “Je, silaha hii ya India imeiweka miongoni mwa mataifa yenye uwezo mkubwa wa kijeshi duniani?”
Zaidi ya watu 400 wauawa na waasi huko Sudan – UN inasema
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya watu 400 wameuawa katika mashambulizi ya hivi majuzi ya Jeshi la Rapid Support Forces (RSF) katika jimbo la… Read more “Zaidi ya watu 400 wauawa na waasi huko Sudan – UN inasema”
Mwanafunzi mwanaharakati wa Palestina akamatwa katika usaili wa uraia wa Marekani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mratibu wa maandamano ya wafuasi wa Palestina katika Chuo Kikuu cha Columbia amekamatwa na maafisa wa uhamiaji alipokuwa akifanyiwa usaili… Read more “Mwanafunzi mwanaharakati wa Palestina akamatwa katika usaili wa uraia wa Marekani”