Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: post

Trump atishia Brazil kwa ushuru wa 50% na kutaka kesi ya Bolsonaro itupiliwe mbali

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani Donald Trump amesema anapanga kutoza ushuru wa 50% kwa bidhaa zinazotengenezwa nchini Brazil, na hivyo kuzidisha vita… Read more “Trump atishia Brazil kwa ushuru wa 50% na kutaka kesi ya Bolsonaro itupiliwe mbali”

July 10, 2025 by CantonaDigital

Familia zaingiwa wasiwasi kuhusu usalama wa Wahindi waliotekwa nyara nchini Mali

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wiki moja baada ya Wahindi watatu kutekwa nyara nchini Mali, familia zao zinasema bado hazina taarifa kuhusu waliko na zina… Read more “Familia zaingiwa wasiwasi kuhusu usalama wa Wahindi waliotekwa nyara nchini Mali”

July 9, 2025 by CantonaDigital

Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miaka 48

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwanaume ambaye alichukuliwa kwa nguvu kutoka kwa Mama yake akiwa mtoto mchanga wakati wa utawala wa kijeshi wa Argentina na… Read more “Mtoto aliyeibiwa apatikana baada ya miaka 48”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Israel inapanga kuwapeleka Wagaza wote katika eneo moja la Rafah

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa ulinzi wa Israel anasema amewaagiza wanajeshi wake kuandaa mpango wa kuwahamisha Wapalestina wote walioko Gaza na kuwapeleka katika… Read more “Israel inapanga kuwapeleka Wagaza wote katika eneo moja la Rafah”

July 8, 2025 by CantonaDigital

Maandamano ya saba saba Kenya: Raila ashindwa kufika katika uwanja alikotarajia kuuhutubia Umma

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi mkongwe wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM), Raila Odinga amesema vizuizi vya polisi jijini ndio sababu iliyomfanya ashindwe… Read more “Maandamano ya saba saba Kenya: Raila ashindwa kufika katika uwanja alikotarajia kuuhutubia Umma”

July 7, 2025 by CantonaDigital

Madai ya Saba Saba hayajatimizwa Kenya, asema Raila

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amewataka Wakenya kukusanyika katika uwanja wa Kamukunji mjini Nairobi leo Jumatatu 07/07/2025, katika… Read more “Madai ya Saba Saba hayajatimizwa Kenya, asema Raila”

July 7, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar