Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: news

Guinea: Operesheni ya kupambana na uhalifu yazua mvutano na Sierra Leone

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Guinea, operesheni ya “kubomoa” “maeneo ya uhalifu” inaendelea. Ilizinduliwa tarehe 9 Desemba, inalenga kupambana na uhalifu na mauaji yaliyopangwa,… Read more “Guinea: Operesheni ya kupambana na uhalifu yazua mvutano na Sierra Leone”

December 23, 2024 by CantonaDigital

Jamhuri 2024: Kindiki amsifia Ruto kwa kusaka Raila na Kenyatta

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais Kithure Kindiki. Picha|Maktaba NAIBU Rais Kithure Kindiki amemmiminia sifa bosi wake, Rais William Ruto akimtaja kama kiongozi “anayethamini… Read more “Jamhuri 2024: Kindiki amsifia Ruto kwa kusaka Raila na Kenyatta”

December 13, 2024 by CantonaDigital

Niger yapoteza wanajeshi wake 10 kufuatia shambulio la watu wenye silaha

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wanajeshi 10 wa Niger, wameuawa na wengine sana wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na watu wenye silaha, katika mpaka wa nchi… Read more “Niger yapoteza wanajeshi wake 10 kufuatia shambulio la watu wenye silaha”

December 12, 2024 by CantonaDigital

Ufaransa: Emmanuel Macron aonyesha ‘nia yake ya kutovunja Bunge la taifa’ hadi 2027

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Emmanuel Macron ameelezea siku ya Jumanne, Desemba 10 kwa wakuu wa vyama vya siasa waliokusanyika kwa zaidi ya saa mbili… Read more “Ufaransa: Emmanuel Macron aonyesha ‘nia yake ya kutovunja Bunge la taifa’ hadi 2027”

December 11, 2024 by CantonaDigital

Uganda: Kizza Besigye kuendelea kuzuiliwa katika gereza la Luzira hadi Januari 7, 2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kesi ya madai ya kupatikana akiwa na silaha, akiwa jijini Nairobi, nchini Kenya, inayomkabili kiongozi mkongwe wa upinzani nchini Uganda… Read more “Uganda: Kizza Besigye kuendelea kuzuiliwa katika gereza la Luzira hadi Januari 7, 2025”

December 11, 2024 by CantonaDigital

Kenya: Kilichojiri katika mkutano kati ya rais Ruto na Uhuru

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto ametembelea mtangulizi wake Uhuru Kenyatta nyumbani kwa familia yake huko Gatundu, ikiwa ni maongezi ya kwanza ya… Read more “Kenya: Kilichojiri katika mkutano kati ya rais Ruto na Uhuru”

December 10, 2024 by CantonaDigital

DRC: Moise Katumbi na Martin Fayulu waweka misingi ya kutetea Katiba

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, wakati huu mjadala ukiendelea kuhusu katiba, viongozi wa upinzani Moise Katumbi na Martin… Read more “DRC: Moise Katumbi na Martin Fayulu waweka misingi ya kutetea Katiba”

December 9, 2024 by CantonaDigital

Burundi: Upinzani wakosoa maagizo ya rais Ndayishimiye kuhusu uchaguzi wa ubunge

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wanasiasa wa upinzani nchini Burundi, wamekosoa vikali maagizo ya rais Evariste Ndayishimiye kuhusu uchaguzi wa ubunge ambao umepangwa kufanyika Juni… Read more “Burundi: Upinzani wakosoa maagizo ya rais Ndayishimiye kuhusu uchaguzi wa ubunge”

December 9, 2024 by CantonaDigital

John Dramani Mahama, rais mteule wa Ghana ni nani?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa John Dramani Mahama ni rais wa zamani aliyehudumu kama rais kati ya mwaka 2012 hadi 2017 na ameshinda uchaguzi huu… Read more “John Dramani Mahama, rais mteule wa Ghana ni nani?”

December 9, 2024 by CantonaDigital

Sudan Kusini: Mazungumzo ya amani yarejelewa tena jijini Nairobi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya miezi minne na kufutwa kazi kwa ujumbe wa serikali, mazungumzo ya amani ya Sudan Kusini yaliyokwama yameanza tena… Read more “Sudan Kusini: Mazungumzo ya amani yarejelewa tena jijini Nairobi”

December 5, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...