Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: news

Korea Kusini: Wachunguzi washindwa kumkamata rais aliyeondolewa madarakani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwezi mmoja baada ya jaribio lake lililoshindwa la kuweka sheria ya kijeshi, wachunguzi wamejaribu kumkamata rais katika makazi yake rasmi… Read more “Korea Kusini: Wachunguzi washindwa kumkamata rais aliyeondolewa madarakani”

January 3, 2025 by CantonaDigital

Ruto, Raila, Uhuru watakiwa kuhalalisha ‘ndoa’ yao 2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto alipomtembelea Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta nyumbani kwake Ichaweri, Gatundu. Picha|PCS MWENYEKITI mpya wa bodi ya Mamlaka ya… Read more “Ruto, Raila, Uhuru watakiwa kuhalalisha ‘ndoa’ yao 2025”

January 2, 2025 by CantonaDigital

Korea Kusini: Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol apinga kukamatwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Korea Kusini, agizo la kukamatwa kwa rais linaweza kutekelezwa leo Alhamisi, Januari 2, kulingana na shirika la habari la… Read more “Korea Kusini: Rais aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol apinga kukamatwa”

January 2, 2025 by CantonaDigital

Angelina Jolie na Brad Pitt wafikia makubaliano ya talaka baada ya vita vya miaka minane mahakamani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nyota wa Hollywood Angelina Jolie na Brad Pitt wamefikia makubaliano ya talaka baada ya miaka minane, wakili wake ameviambia vyombo… Read more “Angelina Jolie na Brad Pitt wafikia makubaliano ya talaka baada ya vita vya miaka minane mahakamani”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Afrika Mashariki: Mjumbe wa IGAD anatarajiwa kuzuru Sudan

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mjumbe wa Jumuiya ya nchi za IGAD Lawrence Korbandy anatarajiwa kuzuru nchini Sudan mwezi Januari kujaribu kusuluhisha mzozo unaoendelea kati… Read more “Afrika Mashariki: Mjumbe wa IGAD anatarajiwa kuzuru Sudan”

December 31, 2024December 31, 2024 by CantonaDigital

Kenya: Polisi wakandamiza maandamano ya amani dhidi ya utekaji nyara wa wapinzani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makumi ya waandamanaji wa Kenya waliitikia Jumatatu Desemba 30, 2024 wito wa kupinga wimbi jipya la utekaji nyara wa wapinzani.… Read more “Kenya: Polisi wakandamiza maandamano ya amani dhidi ya utekaji nyara wa wapinzani”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Mkuu wa diplomasia ya Ukraine aomba ‘kutengwa’ kwa Urusi nchini Syria

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ni ziara ya kushtukiza ambayo mkuu wa diplomasia ya Ukraine amefanya siku ya Jumatatu, Desemba 30 huko Damascus, kwa matumaini… Read more “Mkuu wa diplomasia ya Ukraine aomba ‘kutengwa’ kwa Urusi nchini Syria”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Shambulizi la droni za RSF zimesababisha vifo vya watu 21 Darfur

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takriban watu 21 waliuawa katika shambulio la ndege isiyo na rubani ya RSF kwenye Darfur Kaskazini mwa Sudan, wanaharakati wa… Read more “Shambulizi la droni za RSF zimesababisha vifo vya watu 21 Darfur”

December 30, 2024 by CantonaDigital

India: Mahakama ya Juu yataka kusitisha mgomo wa kula wa kiongozi wa wakulima

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Tangu Novemba 26, mwanaharakati kutoka jimbo la Punjab, kitovu cha maandamano ya wakulima nchini India, hajala, kudai mapato bora kwa… Read more “India: Mahakama ya Juu yataka kusitisha mgomo wa kula wa kiongozi wa wakulima”

December 30, 2024 by CantonaDigital

Korea Kusini: Wachunguzi watafuta kibali cha kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wachunguzi wa Korea Kusini wamesema siku ya Jumatatu Desemba 30 wameiomba mahakama kutoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyen’atuliwa madarakani… Read more “Korea Kusini: Wachunguzi watafuta kibali cha kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon”

December 30, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...