Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: news

Wanajeshi wa Nigeria watibua shambulio la Boko Haram na kuua wapiganaji 34

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Nigeria limesema siku ya Jumatano, wanajeshi wake wamewaua wanamgambo 34 wa Boko Haram katika mapigano kaskazini mashariki mwa… Read more “Wanajeshi wa Nigeria watibua shambulio la Boko Haram na kuua wapiganaji 34”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Matukio katika picha: Moto wa nyika unaowaka Los Angeles Marekani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moto wa nyika ulioanza katika eneo la Pacific Palisades huko Los Angeles Jumanne asubuhi umeenea magharibi mwa jiji hilo kwa… Read more “Matukio katika picha: Moto wa nyika unaowaka Los Angeles Marekani”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Marekani yaituhumu RSF kwa mauaji ya kimbari Sudan, yamuwekea vikwazo kamanda wake

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Marekani imegundua kuwa vikosi vya waasi wa RSF nchini Sudan na wanamgambo walioungana nao walitenda mauaji ya kimbari nchini Sudan,… Read more “Marekani yaituhumu RSF kwa mauaji ya kimbari Sudan, yamuwekea vikwazo kamanda wake”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais mteule Donald Trump ameendelea kutoa vitisho vya kudai kumiliki Greenland na rasi ya Panama, akisema maeneo haya ni muhimu… Read more “Trump aendelea kutishia kudhibiti Greenland na rasi ya Panama”

January 8, 2025 by CantonaDigital

DRC: Waziri wa Sheria azungumzia kuhusu utekelezaji wa hivi punde wa adhabu ya kifo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),Constant Mutamba amezungumzia Januari 6, 2025 huko Kinshasa kuhusu hali ya… Read more “DRC: Waziri wa Sheria azungumzia kuhusu utekelezaji wa hivi punde wa adhabu ya kifo”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Bobi Wine amjibu mkuu wa jeshi Uganda Muhoozi baada ya kumtishia kumkata kichwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Vita vya mitandaoni vimeendelea kutokota kati ya Mkuu wa jeshi la Uganda Generali Muhoozi Kainerugaba na mwanasiasa mashuhuri wa Uganda… Read more “Bobi Wine amjibu mkuu wa jeshi Uganda Muhoozi baada ya kumtishia kumkata kichwa”

January 7, 2025 by CantonaDigital

John Mahama kuapishwa leo kuwa rais Ghana

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais mteule wa Ghana, John Mahama, anatarajiwa kuapishwa leo baada ya kushindi uchaguzi wa mwezi uliopita. Kwa mara ya kwanza,… Read more “John Mahama kuapishwa leo kuwa rais Ghana”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Serikali ya Kenya yasema imeweka mikakati Raila kushinda uenyekiti AUC

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa ODM Raila Odinga. PICHA | MAKTABA SERIKALI ya Kenya imetangaza kuwa imempanga Waziri Mkuu wa zamani Raila Odinga… Read more “Serikali ya Kenya yasema imeweka mikakati Raila kushinda uenyekiti AUC”

January 7, 2025 by CantonaDigital

Mkuu wa jeshi la Uganda asema anataka kumkata kichwa Bobi Wine

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa jeshi la Uganda Generali Muhoozi Kainerugaba, ambaye pia ni mtoto wa Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni, amesema… Read more “Mkuu wa jeshi la Uganda asema anataka kumkata kichwa Bobi Wine”

January 6, 2025 by CantonaDigital

Wachunguzi wa Korea Kusini wamtaka kaimu rais arahisishe kukamatwa kwa Rais Yoon.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wachunguzi wa Korea Kusini wamemtaka tena kaimu rais wa nchi hiyo Jumamosi kuamuru idara ya usalama ya rais kufuata agizo… Read more “Wachunguzi wa Korea Kusini wamtaka kaimu rais arahisishe kukamatwa kwa Rais Yoon.”

January 4, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...