Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: news

Mashariki mwa DRC: Mapigano yarindima kusini mwa wilaya ya Lubero

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mapigano yameripotiwa tena kuanzia leo asubuhi, Kusini mwa Wilaya ya Lubero katika mkoa wa Kivu Kaskazini, Mashariki mwa DRC kati… Read more “Mashariki mwa DRC: Mapigano yarindima kusini mwa wilaya ya Lubero”

January 10, 2025 by CantonaDigital

Kenya: Rais William Ruto afanya mazungumzo na rais wa Angola João Lourenço

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Kenya, William Ruto, amekamilisha ziara fupi nchini Angola, ambapo alikutana na Rais João Lourenço kwa mazungumzo yaliyofanyika jijini… Read more “Kenya: Rais William Ruto afanya mazungumzo na rais wa Angola João Lourenço”

January 9, 2025 by CantonaDigital

DR Congo: Raia waandamana mjini Bukavu kutokana na ukosefu wa usalama Mashariki mwa nchi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini DRC, asasi za kiraia zimefanya maandamano hapo jana siku ya Jumatano mjini Bukavu kupinga vita vinavyoendelea mashariki mwa nchi… Read more “DR Congo: Raia waandamana mjini Bukavu kutokana na ukosefu wa usalama Mashariki mwa nchi”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Jeshi la Congo lachukua udhibiti wa sehemu za mji wa Masisi kutoka M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (FARDC) na washirika wake, wanamgambo Wazalendo, jana waliteka tena sehemu za mji wa… Read more “Jeshi la Congo lachukua udhibiti wa sehemu za mji wa Masisi kutoka M23”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Bastola ya kiongozi wa Burkina Faso yazusha wasiwasi Ghana

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso Kapteni Ibrahim Traore amezusha wasiwasi alipohudhuria hafla ya Jumanne ya kuapishwa kwa Rais wa… Read more “Bastola ya kiongozi wa Burkina Faso yazusha wasiwasi Ghana”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Matukio katika picha: Watu 100,000 waamriwa kuhama kutokana na moto mkali

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moto mkali unaoendelea huko Los Angeles, Marekani umeenea hadi kwenye Milima ya Hollywood siku ya Jumatano, huku watu takribani watano… Read more “Matukio katika picha: Watu 100,000 waamriwa kuhama kutokana na moto mkali”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Hekalu la Tirupati latoa pole baada yawatu sita kufariki katika mkanyagano

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Hekalu la Tirupati nchini India limetuma risala za rambirambi baada ya watu sita kuuawa na wengine kadhaakujeruhiwa katika msongamano wa… Read more “Hekalu la Tirupati latoa pole baada yawatu sita kufariki katika mkanyagano”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Iran: Matamshi ya Macron kuhusu jukumu lake katika Mashariki ya Kati kama ‘hayana msingi’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Iran inataja matamshi ya Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron yakitaja nchi hiyo kama “changamoto kuu ya kimkakati na kiusalama” katika… Read more “Iran: Matamshi ya Macron kuhusu jukumu lake katika Mashariki ya Kati kama ‘hayana msingi’”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Mfalme wa Uholanzi kuzuru Kenya, mwaka mmoja baada ya ziara ya Mfalme Charles III wa Uingereza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto na Mkewe Rachel walipokutana na Mfalme wa Uholanzi Willem Alexander na Malkia Maxima jijini, The Hague, nchini… Read more “Mfalme wa Uholanzi kuzuru Kenya, mwaka mmoja baada ya ziara ya Mfalme Charles III wa Uingereza”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Kipenga Cha Michezo-09-01-2025

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Manchester United wamefikia mkataba mpya na Amad Diallo, Kobbie Mainoo na Alejandro Garnacho kusalia Old Trafford, Arsenal wanalenga kumnunua Bryan… Read more “Kipenga Cha Michezo-09-01-2025”

January 9, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...