Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa Upinzani Uganda Kizza Besigye (kushoto) na mwanaharakati wa Tanzania Maria Sarungi KWA miaka mingi, raia wa kigeni walidhani… Read more “Nchini Kenya raia wa kigeni 50 wakitekwa nyara.”
Tag: news
Sudan: Jeshi laukomboa mji mwingine wa kimkakati katika jimbo la Gezira
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jeshi limetangaza kuwa limeudhibiti mji mwingine muhimu wa Gezira, siku moja baada ya kuuteka mji mkuu wa jimbo hilo la… Read more “Sudan: Jeshi laukomboa mji mwingine wa kimkakati katika jimbo la Gezira”
Kipenga cha Michezo-13-01-2025-RFA
Tetesi za soka Ulaya Jumatatu: AC Milan, Inter Milan wamuwania Walker Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mlinzi wa kulia wa Uingereza Kyle Walker, 34, anatazamiwa… Read more “Kipenga cha Michezo-13-01-2025-RFA”
Rais wa Kenya William Ruto awakemea wanaobashiri atapoteza kiti 2027
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais William Ruto akizungumza kanisani Dagoretti. Picha|PCS RAIS William Ruto amewakashifu wapinzani wake wanaobashiri kuwa atahudumu kwa muhula mmoja pekee… Read more “Rais wa Kenya William Ruto awakemea wanaobashiri atapoteza kiti 2027”
Kesi ya Stormy Daniels: Donald Trump afutiwa adhabu baada ya kuhukumiwa.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jaji wa New York siku ya Ijumaa asubuhi amempa Donald Trump msamaha wa hukumu katika kesi ya malipo ya siri… Read more “Kesi ya Stormy Daniels: Donald Trump afutiwa adhabu baada ya kuhukumiwa.”
Venezuela: Nicolas Maduro aapishwa kwa muhula wa tatu wa miaka sita
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Venezuela Nicolas Maduro, ambaye kuchaguliwa kwake tena kunapingwa na upinzani, ambao unadai ushindi na unalalamikia udanganyifu, ameapishwa siku… Read more “Venezuela: Nicolas Maduro aapishwa kwa muhula wa tatu wa miaka sita”
Korea Kusini: Mkuu wa usalama wa Rais Park Chong-jun ajiuzulu
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkuu wa kitengo cha ulinzi wa rais wa Korea Kusini aliyeondolewa madarakani Yoon Suk-yeol, ambaye timu yake ilimzuia kukamatwa na… Read more “Korea Kusini: Mkuu wa usalama wa Rais Park Chong-jun ajiuzulu”
Somalia: Rais Hassan Sheikh Mohamud kuzuru Ethiopia katika harakati za hivi punde za amani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamud anazuru Ethiopia, wakati huu nchi hizo mbili zikiendelea kuimarisha tena uhusiano wao uliyokuwa umeyumba.… Read more “Somalia: Rais Hassan Sheikh Mohamud kuzuru Ethiopia katika harakati za hivi punde za amani”
Kutokuwepo kwa utulivu mashariki mwa Congo kumetokana na historia ya kikoloni – Kagame
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Rwanda Paul Kagame amesisitiza kuwa wapiganaji wa Kundi la M23 wanaozua ghasia nchini DR Congo hawafadhiliwi na serikali… Read more “Kutokuwepo kwa utulivu mashariki mwa Congo kumetokana na historia ya kikoloni – Kagame”
Burhan kunufaika na mamlaka makubwa kutokana na mapendekezo ya mabadiliko ya katiba
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Sudani, mapendekezo ya kuifanyia marekebisho katiba huenda yakampa kiongozi wa kijeshi Abdel Fattah Burhan mamlaka zaidi. Mabadiliko hayo yaliyoandaliwa… Read more “Burhan kunufaika na mamlaka makubwa kutokana na mapendekezo ya mabadiliko ya katiba”