Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: news

Wanaoishi karibu na Mto Nairobi wapinga mpango wa kuwahamisha.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Makazi karibu na Mto Nairobi eneo la Kawangware.  MAELFU ya wakazi wa Nairobi wanaoishi karibu na Mto Nairobi na katika… Read more “Wanaoishi karibu na Mto Nairobi wapinga mpango wa kuwahamisha.”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Serikali nchini Kenya kudhibiti idadi ya miradi kwa wanakandarasi kukabili uzembe

Rais William Ruto akisalimiana na wafanyakazi kwenye mradi wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Picha|Hisani SERIKALI inalenga kuanzisha sera ambayo itadhibiti idadi ya miradi ya serikali… Read more “Serikali nchini Kenya kudhibiti idadi ya miradi kwa wanakandarasi kukabili uzembe”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shambulio la kombora la Urusi katika mji wa Sumy wa Ukraine, ambalo liliua watu 34 – ikiwa ni pamoja na… Read more “Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Rais Samia aikaribisha Man Utd kuwekeza Tanzania

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Mmiliki wa Klabu… Read more “Rais Samia aikaribisha Man Utd kuwekeza Tanzania”

April 11, 2025 by CantonaDigital

UNAYALINDAJE MACHO YAKO DHIDI YA MTEGO WA MACHO?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Sina shaka picha uliyoiona hapo chini, ndiyo iliyovuta akili yako haraka kabla hata hujajua nini kinafuata. Hii si ajali. Ni… Read more “UNAYALINDAJE MACHO YAKO DHIDI YA MTEGO WA MACHO?”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Soko la hisa Asia laendelea kusuasua baada ya nyongeza ya ushuru wa Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Soko la hisa nchini Japan limefungua likiwa limeshuka kutokana na mazingira ya kusuasua yatokanayo na sera ziazobadilika kwa kasi za… Read more “Soko la hisa Asia laendelea kusuasua baada ya nyongeza ya ushuru wa Trump”

April 11, 2025 by CantonaDigital

Dawa zinazoshukiwa kuwa kokeini zapatikana kwenye gari la ubalozi wa Sierra Leone

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Sierra Leone imemrejesha nyumbani balozi wake kutoka nchi jirani ya Guinea baada ya masanduku saba yaliyokuwa na dawa inayoshukiwa kuwa… Read more “Dawa zinazoshukiwa kuwa kokeini zapatikana kwenye gari la ubalozi wa Sierra Leone”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Pakistan: Imran Khan amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela kwa kesi ya ufisadi.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri mkuu wa zamani wa Pakistan, Imran Khan, amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela kwa kesi ya ufisadi ,ikiwa ni… Read more “Pakistan: Imran Khan amehukumiwa kifungo cha miaka 14 jela kwa kesi ya ufisadi.”

January 17, 2025 by CantonaDigital

Chama cha DP nchini Kenya, chasema kiko tayari kumhifadhi Gachagua na washirika

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais aliyetimuliwa mamlakani Rigathi Gachagua. Picha|Maktaba CHAMA cha Democratic Party of Kenya (DP), kilichoanzishwa na aliyekuwa Rais Mwai Kibaki,… Read more “Chama cha DP nchini Kenya, chasema kiko tayari kumhifadhi Gachagua na washirika”

January 16, 2025 by CantonaDigital

Sudan: UN yaonya dhidi ya mashambulio ya kulipiza kisasi dhidi ya raia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu mashambulio ya kulipiza kisasi dhidi ya raia wa kawaida katika jimbo la Al-Jazira nchini Sudan.… Read more “Sudan: UN yaonya dhidi ya mashambulio ya kulipiza kisasi dhidi ya raia”

January 16, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...