Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa
Tag: musalia-mudavadi
Rais William Ruto amemteua Bi Soipan Tuya waziri Ulinzi Nchini Kenya.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Katika mabadiliko nadra sana, Rais William Ruto amemteua Bi Soipan Tuya kama Waziri wa Ulinzi wa Baraza la Mawaziri badala… Read more “Rais William Ruto amemteua Bi Soipan Tuya waziri Ulinzi Nchini Kenya.”
Bunge la kitaifa Nchini Kenya lakadiria hasara milioni 94 kutokana na uharibifu ulifanywa bungeni na Gen Z.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph BUNGE la Kitaifa linakadiria hasara ya Sh94 milioni kufuatia maandamano ya kulalamikia Mswada wa Fedha 2024 ambapo Gen Z walivamia… Read more “Bunge la kitaifa Nchini Kenya lakadiria hasara milioni 94 kutokana na uharibifu ulifanywa bungeni na Gen Z.”
Gen Z mnikome!!!
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Gen Z wanadai Rais anawachezea shere baada ya kutangaza nusu ya baraza lake la mawaziri. Mnamo Ijumaa iliyopita, Rais Ruto… Read more “Gen Z mnikome!!!”
Rais Ruto wa Kenya aruka kisiki cha Sheria.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph RAIS William Ruto ameonekana kuruka kisiki cha kisheria kwa kusema kuwa mawaziri aliorudisha kazini lazima watapigwa msasa na bunge la… Read more “Rais Ruto wa Kenya aruka kisiki cha Sheria.”
Wimbi Jipya la Maandamano Nchini Kenya.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph RAIS William Ruto ameonekana kurejelea shughuli na hulka yake ya kawaida huku vijana wakiendeleza wimbi jipya la maandamano ya kupinga… Read more “Wimbi Jipya la Maandamano Nchini Kenya.”
Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.
Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”
Mheshimiwa Musalia Mudavadi asazwa,Rais Ruto wa Kenya akiwafukuza kazi mawaziri-Radio Fortune Africa.
Na Cantona Joseph AfrikaLeoJioni RAIS William Ruto alimsaza Mkuu wa Mawaziri na Waziri wa Mashauri ya Kigeni Musalia Mudavadi kutokana na sababu za kisiasa wala sio hadhi… Read more “Mheshimiwa Musalia Mudavadi asazwa,Rais Ruto wa Kenya akiwafukuza kazi mawaziri-Radio Fortune Africa.”
UAMUZI wa Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi wa kuunganisha chama chake unaweza kumweka kwenye hali sawa na aliyojipata awali iliyomfanya kusukumwa nje ya vyama alivyosaidia kuunda na ambavyo hangeweza kuvidhibiti.
Afrika Leo Wikendi-Radio Fortune Africa. Na Cantona Joseph;Juni 22,2024 Mkuu wa mawaziri Nchini Kenya Musalia Mudavadi amekubali kuvunja chama chake cha Amani National Congress (ANC) ili kuungana… Read more “UAMUZI wa Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi wa kuunganisha chama chake unaweza kumweka kwenye hali sawa na aliyojipata awali iliyomfanya kusukumwa nje ya vyama alivyosaidia kuunda na ambavyo hangeweza kuvidhibiti.”