Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph MBUNGE wa Embakasi Mashariki Babu Owino ameitwa kufika mbele ya wapelelezi wa Idara ya Uchunguzi wa Jinai (DCI) kuhojiwa kuhusiana… Read more “Babu Owino aagizwa kufika katika makao makuu DCI Nchini Kenya kuhojiwa.”
Tag: moyale
Mdomo unaoziba ni hatima iliyoziba!!!
Radio Fortune Africa -Bao La Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Wapo watu wengi sana ambao wanahitaji MSAADA na wanatamani KUONGEA, ila wanaogopa sana KUHUKUMIWA. Dunia yetu imejaa… Read more “Mdomo unaoziba ni hatima iliyoziba!!!”
Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.
Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”
Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.
https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”
Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.
Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”