Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: middle-east

Bei ya mafuta yapanda baada ya shambulizi la Iran

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Bei ya mafuta ilipanda baada ya Iran kurusha makombora ya balistiki dhidi ya Israel na kuzua hofu ya mzozo mkubwa… Read more “Bei ya mafuta yapanda baada ya shambulizi la Iran”

October 2, 2024October 2, 2024 by CantonaDigital

Tunachojua kuhusu shambulio la kombora la Iran dhidi ya Israel

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Iran imerusha mamia ya makombora kuelekea Israel, huku baadhi ikipiga maeneo ya Israel. Hilo ni shambulio la pili kufanywa na… Read more “Tunachojua kuhusu shambulio la kombora la Iran dhidi ya Israel”

October 2, 2024 by CantonaDigital

Israel na Hezbollah: Athari ya uvamizi wa kijeshi wa Israel kwa pande zote mbili

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Vyombo vya habari vya Israel viliwanukuu maafisa wa jeshi la Israel wakisema kuwa hatua ya msingi ya kuingia eneo la… Read more “Israel na Hezbollah: Athari ya uvamizi wa kijeshi wa Israel kwa pande zote mbili”

October 1, 2024 by CantonaDigital

Unachopaswa kujua kuhusu mzozo kati ya Israel na Hezbollah

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Israel na Hezbollah wanaonekana kuelekea kwenye vita vya kila upande ambavyo vinaweza kuenea katika eneo hilo kubwa, baada ya wiki… Read more “Unachopaswa kujua kuhusu mzozo kati ya Israel na Hezbollah”

October 1, 2024 by CantonaDigital

Tumeua kiongozi wa 7 wa Hezbollah, Israel yajigamba

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://liveonlineradio.net/radio-fortune-africa Kiongozi wa Hezbollah, Sayyed Hassan Nasrallah ahutubia wafuasi wake katika hafla ya kidini ya Ashura jijini Beirut, Lebanon mnamo 14,… Read more “Tumeua kiongozi wa 7 wa Hezbollah, Israel yajigamba”

October 1, 2024 by CantonaDigital

Lebanon: Raia wapokea ujumbe wa simu kutoka kwa Israel wakitakiwa kuondoka

Maofisa nchini Lebanon wameripoti kwamba raia nchini humo wanapokea ujumbe wa simu kutoka kwa Israeli ikiwaonya kuondoka, Ofisi wa Waziri wa mawasiliano Ziad Makary ikithibitisha kupokea moja… Read more “Lebanon: Raia wapokea ujumbe wa simu kutoka kwa Israel wakitakiwa kuondoka”

September 23, 2024 by CantonaDigital

Wanajeshi wa Israeli waripotiwa kurusha mabomu kuelekea kusini mwa Lebanon

Jeshi la Israeli limerusha mabomu Kusini mwa Lebanon, baada ya mashambulio kutokea kwenye vifaa vya mawasilino vilivyokuwa vinatumiwa na kundi la Hezbollah, na kusababisha maafa na majeruhi.… Read more “Wanajeshi wa Israeli waripotiwa kurusha mabomu kuelekea kusini mwa Lebanon”

September 19, 2024 by CantonaDigital

Iran yaituhumu Israeli kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya Hezbollah

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://radioslist.com/online/ke/fortuneafrica.html#infomore Iran imeituhumu Israeli kwa kile inachosema imetekeleza mauaji ya watu wengi baada ya vifaa vya mawasiliano ya wapiganaji wa Hezbollah… Read more “Iran yaituhumu Israeli kwa milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya Hezbollah”

September 18, 2024 by CantonaDigital

Marekani yatuma manowari ya kombora mashariki ya Kati Pentagon yasema.

Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin aliamuru kutumwa kwa manowari ya kombora kuelekea Mashariki ya Kati, Pentagon imesema. Katika mazungumzo ya simu na Waziri wa Ulinzi… Read more “Marekani yatuma manowari ya kombora mashariki ya Kati Pentagon yasema.”

August 12, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar