Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: manchester-city

Zaidi ya watu 400 wauawa na waasi huko Sudan – UN inasema

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya watu 400 wameuawa katika mashambulizi ya hivi majuzi ya Jeshi la Rapid Support Forces (RSF) katika jimbo la… Read more “Zaidi ya watu 400 wauawa na waasi huko Sudan – UN inasema”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Mwanafunzi mwanaharakati wa Palestina akamatwa katika usaili wa uraia wa Marekani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mratibu wa maandamano ya wafuasi wa Palestina katika Chuo Kikuu cha Columbia amekamatwa na maafisa wa uhamiaji alipokuwa akifanyiwa usaili… Read more “Mwanafunzi mwanaharakati wa Palestina akamatwa katika usaili wa uraia wa Marekani”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Trump amlaumu Zelensky kwa kuanzisha vita baada ya shambulio kubwa la Urusi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Donald Trump amemlaumu Volodymyr Zelensky kwa kuanzisha vita na Urusi siku moja baada ya shambulizi kubwa la Urusi kuwaua zaidi… Read more “Trump amlaumu Zelensky kwa kuanzisha vita baada ya shambulio kubwa la Urusi”

April 15, 2025April 15, 2025 by CantonaDigital

Trump: Iran ‘inatuchezea shere’ kwa kuchelewa kuafikiana kuhusu nyuklia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anaamini Iran inachelewesha kwa makusudi kufikiwa kwa makubaliano ya nyuklia, akionya kuwa hatua… Read more “Trump: Iran ‘inatuchezea shere’ kwa kuchelewa kuafikiana kuhusu nyuklia”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Rais wa China aitaka Vietnam kupinga ushuru wa Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa China, Xi Jinping, ametoa wito kwa Vietnam kupinga kile alichokiita “unyanyasaji wa upande mmoja” ili kulinda mfumo wa… Read more “Rais wa China aitaka Vietnam kupinga ushuru wa Trump”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Uingereza yaandaa mazungumzo ya kuleta amani Sudan

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkutano wa kimataifa wa ngazi ya juu umeanza jijini London, Uingereza kwa lengo la kutafuta suluhisho la kudumu la mzozo… Read more “Uingereza yaandaa mazungumzo ya kuleta amani Sudan”

April 15, 2025April 15, 2025 by CantonaDigital

Je, Aston Villa wataibwaga PSG katika mchuano wa leo na kuandikisha historia?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Hadithi ya kusisimuwa huenda ikaandikwa usiku wa leo katika uwanja wa Villa Park nchini England pale Aston Villa itakapomenyana dhidi… Read more “Je, Aston Villa wataibwaga PSG katika mchuano wa leo na kuandikisha historia?”

April 15, 2025 by CantonaDigital

Fahamu nchi tano zitakazotawala dunia mwaka 2050

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Brexit, virusi vya corona, vita vya Ukraine na ushuru wa kibiashara vinaweza kuwa vinaleta hali ya kiuchumi, lakini licha ya… Read more “Fahamu nchi tano zitakazotawala dunia mwaka 2050”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Kwanini hauhitaji tena ‘kava” la simu yako?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Simu za mkononi za kisasa aina ya smartphone ama simu za rununu, zimeboreshwa kimuundo na kiteknolojia huku zinazotengenezwa hivi maajuzi,… Read more “Kwanini hauhitaji tena ‘kava” la simu yako?”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Shambulio la kombora la Urusi katika mji wa Sumy wa Ukraine, ambalo liliua watu 34 – ikiwa ni pamoja na… Read more “Washirika wa Ukraine wailaani Urusi kwa shambulio baya la kombora”

April 14, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...