Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: manchester-city

IEBC: Wanne kifua mbele kumrithi Chebukati

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wawaniaji wanne waliofikia hatua za mwisho mwisho katika juhudi za kuwa mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka IEBC. Picha|Hisani… Read more “IEBC: Wanne kifua mbele kumrithi Chebukati”

April 24, 2025April 24, 2025 by CantonaDigital

Watu wenye silaha wauwa zaidi ya watu 20 Kashmir

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Takribani watu 22 wameuawa baada ya watu wenye silaha kulifyatulia risasi kundi la watalii wa ndani waliokuwa wakitembelea sehemu maarufu… Read more “Watu wenye silaha wauwa zaidi ya watu 20 Kashmir”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Jaji amzuia Trump kuifunga Sauti ya Amerika (VOA)

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jaji wa mahakama ya shirikisho ya Washington ameuamuru utawala wa Trump kurejesha kazi zote na ufadhili kwa Sauti ya Amerika… Read more “Jaji amzuia Trump kuifunga Sauti ya Amerika (VOA)”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Wakristo wa Afrika watamani Papa kutoka bara hilo

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wakristo kutoka Afrika wanatumai mmoja wao anaweza kuwa Papa katika historia ya sasa ya kanisa hilo na kuendeleza urathi wa… Read more “Wakristo wa Afrika watamani Papa kutoka bara hilo”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Hizi ndizo saa za mwisho za Papa zilivyokuwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Adhuhuri ya Jumatatu, kengele za kanisa kote Italia zilianza kulia. Papa Francis alipoteza maisha. Haikupita hata saa 24 tangu ajitokeze… Read more “Hizi ndizo saa za mwisho za Papa zilivyokuwa”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Baada ya ulimwengu kutaarifiwa kuwa Papa Francis amefariki asubuhi ya Jumatatu, Kadinali Mmarekani , ambaye hajatambuliwa na wengi duniani ,… Read more “Mfahamu Kadinali Kevin Farrell, anayeongoza Vatican baada ya kifo cha Papa”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imesema imezuia “njama kubwa” ya kumpindua kiongozi wa utawala wa kijeshi, Kapteni Ibrahim Traoré,… Read more “Traoré ‘chupuchupu’ kupinduliwa Burkina Faso”

April 23, 2025 by CantonaDigital

Mpango mpya wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza wapendekezwa

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afisa mkuu wa Palestina anayefahamu mazungumzo ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas ameiambia BBC, wapatanishi wa Qatar na… Read more “Mpango mpya wa kusitisha mapigano kati ya Israel na Gaza wapendekezwa”

April 22, 2025 by CantonaDigital

Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana dhidi ya sera za elimu za Trump

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Zaidi ya marais 100 wa vyuo vikuu na mashirika ya elimu wamechapisha taarifa ya pamoja siku ya Jumanne kupinga sera… Read more “Wakuu wa taasisi za elimu ya juu Marekani waungana dhidi ya sera za elimu za Trump”

April 22, 2025 by CantonaDigital

Papa Francis afariki dunia, Vatican yatangaza

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88. Imechapishwa: 21/04/2025 – 10:56Imehaririwa: 21/04/2025 – 11:13 Dakika… Read more “Papa Francis afariki dunia, Vatican yatangaza”

April 21, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...