Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Moja kwa moja,Obama amuunga mkono Kamala Harris kuwa rais Barack na Michelle Obama wanasema Bi Harris ana “uwezo ambao unahitajika katika kipindi hiki… Read more “Afrika Leo Mchana”
Tag: maisha
Habari za Afrika Leo Mchana.
Radio Fortune Africa -Afrika Leo Mchana https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Natumai U Buheri wa Afya Popote pale Duniani,Karibu Katika Afrika Leo Mchana Jina Langu Cantona Joseph Moja kwa moja,Netanyahu atetea… Read more “Habari za Afrika Leo Mchana.”
Rais William Ruto amemteua Bi Soipan Tuya waziri Ulinzi Nchini Kenya.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Katika mabadiliko nadra sana, Rais William Ruto amemteua Bi Soipan Tuya kama Waziri wa Ulinzi wa Baraza la Mawaziri badala… Read more “Rais William Ruto amemteua Bi Soipan Tuya waziri Ulinzi Nchini Kenya.”
Bunge la kitaifa Nchini Kenya lakadiria hasara milioni 94 kutokana na uharibifu ulifanywa bungeni na Gen Z.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph BUNGE la Kitaifa linakadiria hasara ya Sh94 milioni kufuatia maandamano ya kulalamikia Mswada wa Fedha 2024 ambapo Gen Z walivamia… Read more “Bunge la kitaifa Nchini Kenya lakadiria hasara milioni 94 kutokana na uharibifu ulifanywa bungeni na Gen Z.”
Majira ya kuwa Jangwani yapo.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Bao la Asubui Na Cantona Joseph Kuna wakati Mambo yatatokea na utajikuta umebakia peke yako. Wakati huu hautawaona kwa karibu wale ambao ulijua… Read more “Majira ya kuwa Jangwani yapo.”
Nafasi 5 zipo kujiunga na Baraza la mawaziri lakini makubaliano mwanzo Asema Raila Odinga.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph MAELEZO kuhusu wizara ambazo Rais William Ruto ametengea kiongozi wa ODM Raila Odinga katika baraza lake la mawaziri yamefichuka, huku… Read more “Nafasi 5 zipo kujiunga na Baraza la mawaziri lakini makubaliano mwanzo Asema Raila Odinga.”
Magavana wa kauti 6 Pwani ya Kenya walenga Uropa kwa maendeleo.
Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph ZIARA ya magavana sita wa Pwani nchini Italia imewavunia wawekezaji wa kimataifa ambao watakita kambi nchini Kenya mwezi ujao. Gavana… Read more “Magavana wa kauti 6 Pwani ya Kenya walenga Uropa kwa maendeleo.”
Je nani ameshikilia furaha yako.
Radio Fortune Africa -Bao la Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph Unakosa furaha katika maisha yako? Nani ameshikilia furaha yako… Moja ya kitu hatari sana kwenye maisha yako… Read more “Je nani ameshikilia furaha yako.”
Tabia zitakazokupotezea hela-Radio Fortune Africa
Kuna tabia ukiwa nazo zitakufanya upoteze hela nyingi sana… Kila siku kuna watu wanajiuliza mbina mimi nikipata pesa hazikai. Ukipata pesa kidogo zinapotea. kuna watu wengine wanaaami… Read more “Tabia zitakazokupotezea hela-Radio Fortune Africa”
Radio Fortune Africa
Kipi hutokea kwenye ubongo mwanadamu anapokaribia kufa? Maelezo kuhusu uchunguzi…….. Mwaka 2023, watafiti walichapisha utafiti uliochunguza wagonjwa wanne ambao walikuwa katika usingizi mzito (coma) wakiwa katika mashine.… Read more “Radio Fortune Africa”