Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mhudumu wa duka la supamaketi akipanga unga. Ripoti yasema uchumi ulikuwa kwa kasi ya chini mwaka jana. UCHUMI wa Kenya… Read more “Nchini Kenya,Ripoti yafichua uchumi wajikokota licha ya serikali kujipiga kifua.”
Tag: mahusiano
Utekaji Nyara Kenya: Shinikizo Atwoli, Ichung’wa, Sudi na wengine waitwe kortini.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Katibu Mkuu wa COTU Bw Francis Atwoli. Picha/ Maktaba CHAMA cha wanasheria kutoka Mlima Kenya kinataka viongozi wanane miongoni mwao… Read more “Utekaji Nyara Kenya: Shinikizo Atwoli, Ichung’wa, Sudi na wengine waitwe kortini.”
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu zaidi ya Milioni 30 nchini Sudan, nusu wakiwa ni watoto wana uhitaji wa dharura wa misaada ya kibinadamu, baada… Read more “Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani”
Mchora vibozo nchini Kenya,Kibet Bull asema atapunguza matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya kuachiliwa huru
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mchoraji wa Katuni Gideon Kibet, almaarufu Kibet Bull (anayeinua mkono) akiwa na jamaa na marafiki mjini Nakuru Januari 6, 2025… Read more “Mchora vibozo nchini Kenya,Kibet Bull asema atapunguza matumizi ya mitandao ya kijamii baada ya kuachiliwa huru”
Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Watu zaidi ya Milioni 30 nchini Sudan, nusu wakiwa ni watoto wana uhitaji wa dharura wa misaada ya kibinadamu, baada… Read more “Umoja wa Mataifa: Zaidi ya watu milioni 30 wanahitaji msaada Sudani”
Korea Kaskazini yarusha kombora la kwanza la balestiki katika muda wa miezi miwili: Seoul
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Korea Kaskazini imerusha kombora linaloonekana kuwa la masafa ya kati kuelekea bahari ya mashariki, jeshi la Korea Kusini lilisema, ikiwa… Read more “Korea Kaskazini yarusha kombora la kwanza la balestiki katika muda wa miezi miwili: Seoul”
Mwaka wa masomo waanza Kenya: Je, shule za bweni ziko kwenye kiwango cha usalama?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nchini Kenya, hali ya kutokuwa na uhakika inatawala katika mkesha wa kuanza kwa mwaka wa masomo. Mwanzoni mwa mwezi Desemba,… Read more “Mwaka wa masomo waanza Kenya: Je, shule za bweni ziko kwenye kiwango cha usalama?”
Kipenga Cha Michezo-Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Liverpool yakataa ofa za Doak
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Liverpool wamekataa ofa ya pauni milioni 15 kutoka kwa Crystal Palace kwa ajili ya kumnunua Ben Doak. Kiungo huyo wa… Read more “Kipenga Cha Michezo-Tetesi za soka Ulaya Jumamosi: Liverpool yakataa ofa za Doak”
Trump kuhukumiwa kwa kutoa pesa kuzuia taarifa, lakini jaji aashiria kuwa hatafungwa jela.
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Jaji ameamuru kwamba Donald Trump atahukumiwa Januari 10 katika kesi yake ya fedha mjini New York – chini ya wiki… Read more “Trump kuhukumiwa kwa kutoa pesa kuzuia taarifa, lakini jaji aashiria kuwa hatafungwa jela.”
Je, mkate ni mbaya kwa afya yako?
Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mkate unaonekana kwa karibu, kusabisha magonjwa yote ya ulimwengu. Angalau hivyo ndivyo maudhui fulani ya mtandao ambayo yanadai kueneza ushauri… Read more “Je, mkate ni mbaya kwa afya yako?”