Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: mahusiano

Nchini Kenya wewe Muturi tutakufanyia kama Gachagua, Osoro achemka.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri Justin Muturi (kushoto) na Kiranja wa Wengi Silvanus Osoro.  KIRANJA wa Wengi katika Bunge la Kitaifa na Mbunge wa… Read more “Nchini Kenya wewe Muturi tutakufanyia kama Gachagua, Osoro achemka.”

January 15, 2025 by CantonaDigital

Ushirika wa aliyekua naibu Rais nchini Kenya,Rigathi na Gavana Natembeya, je upo njiani ?

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu wa Rais wa zamani Rigathi Gachagua (kushoto) na Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya. Picha|Hisani USHIRIKIANO wa kisiasa kati ya… Read more “Ushirika wa aliyekua naibu Rais nchini Kenya,Rigathi na Gavana Natembeya, je upo njiani ?”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Mwanamke aliyeponea ajali 2 barabarani, akauawa ndege iliyoanguka Malindi Kenya.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mwalimu Mkuu wa Mashamba Naomi Chitsaka katika hafla ya awali. Chitsaka alifariki katika ajali ya ndege eneo la Kwachocha, Malindi… Read more “Mwanamke aliyeponea ajali 2 barabarani, akauawa ndege iliyoanguka Malindi Kenya.”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Aina 5 Za Mipaka Ambayo Familia Huwekewa…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Elimu na Kaziii. Mahusiano Na Familiaiii. Vifo Kabla Ya WakatIiv. Kukataliwav. Fedha Na Uchumi Leo katika makala hii tutaangalia… Read more “Aina 5 Za Mipaka Ambayo Familia Huwekewa…”

January 14, 2025 by CantonaDigital

Taliban ‘hawaoni wanawake kama binadamu’, asema Malala

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Malala Yousafzai amewataka viongozi wa Kiislamu kuipinga serikali ya Taliban nchini Afghanistan na sera zake za ukandamizaji kwa wasichana na… Read more “Taliban ‘hawaoni wanawake kama binadamu’, asema Malala”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Walimu wakuu nchini Kenya, wameanza kuwatuma nyumbani wanafunzi kwa karo wiki moja baada ya kufungua shule

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wanafunzi wakitembea katika barabara awali. Picha|Maktaba WIKI moja tu baada ya shule kufunguliwa kwa muhula wa kwanza, walimu wakuu wameanza… Read more “Walimu wakuu nchini Kenya, wameanza kuwatuma nyumbani wanafunzi kwa karo wiki moja baada ya kufungua shule”

January 13, 2025 by CantonaDigital

Malkia wa Hisabati akiwa na misheni ya kuwainua wasichana

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Akijulikana nchini Ghana kama Malkia wa Hesabu, Dk Angela Tabiri ndiye Mwafrika wa kwanza kushinda shindano la Big Internet Math… Read more “Malkia wa Hisabati akiwa na misheni ya kuwainua wasichana”

January 11, 2025 by CantonaDigital

Uturuki yaitaka Paris kuwarejesha nyumbani wanajihadi wa Ufaransa walioko Syria

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Uturuki inaiomba Ufaransa kuwarejesha nyumbani wanajihadi wa Ufaransa wanaozuiliwa na wanajeshi wa Kikurdi nchini Syria, ambao Ankara inatishia kufanya mashambulizi… Read more “Uturuki yaitaka Paris kuwarejesha nyumbani wanajihadi wa Ufaransa walioko Syria”

January 11, 2025 by CantonaDigital

Mtawa mwenye utata afungwa jela kwa kuutusi Uislamu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mtawa mwenye misimamo mikali nchini Sri Lanka ambaye ni mshirika wa karibu wa rais wa zamani aliyeondolewa madarakani Gotabaya Rajapaksa,… Read more “Mtawa mwenye utata afungwa jela kwa kuutusi Uislamu”

January 10, 2025 by CantonaDigital

Sao Tome na Principe: Waziri Mkuu anapinga kutimuliwa kwake

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Waziri Mkuu wa visiwa vidogo vya Afrika vya Sao Tome na Principe amebainisha siku ya Jumanne Januari 7, 2025 kwamba… Read more “Sao Tome na Principe: Waziri Mkuu anapinga kutimuliwa kwake”

January 8, 2025 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...