Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: mahusiano

Trump ‘alivyopita nayo’ na kuduwaza ulimwengu

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais mteule wa Amerika Donald Trump. Picha|Hisani RAIS mteule Donald Trump jana alionyesha ushujaa wa kipekee baada ya kuvuka vizingiti… Read more “Trump ‘alivyopita nayo’ na kuduwaza ulimwengu”

November 7, 2024 by CantonaDigital

Afrika Leo Jioni-06-11-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwanini Wamarekani wamempa Trump nafasi nyingine? Maelezo kuhusu taarifa Hakika huu ni ushindi wa kushangaza zaidi katika historia ya kisiasa… Read more “Afrika Leo Jioni-06-11-2024”

November 6, 2024 by CantonaDigital

Trump asema amepata ‘ushindi wa ajabu’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Donald Trump anawahutubia wafuasi wake sasa . Anasema kwamba hii itakuwa “zama za dhahabu” kwa Marekani. “Huu ni ushindi mzuri… Read more “Trump asema amepata ‘ushindi wa ajabu’”

November 6, 2024 by CantonaDigital

AMERIKA DEBENI: Wakenya wahamiaji wahofia ushindi wa Trump, nchini wakimshabikia

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Wagombeaji urais Amerika Donald Trump (kushoto) na Kamala Harris. Picha|Maktaba AMERIKA, taifa lenye uchumi mkubwa duniani leo linaingia debeni, ulimwengu… Read more “AMERIKA DEBENI: Wakenya wahamiaji wahofia ushindi wa Trump, nchini wakimshabikia”

November 5, 2024 by CantonaDigital

Roho mkononi kwa Gachagua korti ikiamua leo iwapo Kindiki ataapishwa au la

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais aliyebanduliwa Rigathi Gachagua (kushoto) akishauriana na kiongozi wa mawakili wake Paul Muite wakati wa kusikizwa kwa kesi ya… Read more “Roho mkononi kwa Gachagua korti ikiamua leo iwapo Kindiki ataapishwa au la”

October 31, 2024 by CantonaDigital

Faida 5 Za Maumivu-Unataka Kupona MAUMIVU ya MOYO?…

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa i. Yanakupa Ujasiri wa Kufanya Maamuzi ii. Yanakusaidia kuwajua watu sahihi. iii. Yanakusaidia kujua udhaifu wako iv. Yanakupa mwelekeo mpya… Read more “Faida 5 Za Maumivu-Unataka Kupona MAUMIVU ya MOYO?…”

October 31, 2024 by CantonaDigital

DRC: Jeshi na washirika wake wajibu kwa mashabulizi katika eneo la Walikale dhidi ya M23

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mapigano yameripotiwa siku ya Jumapili kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na… Read more “DRC: Jeshi na washirika wake wajibu kwa mashabulizi katika eneo la Walikale dhidi ya M23”

October 28, 2024 by CantonaDigital

Msumbiji: Mamlaka yawaonya wanaopanga maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Msumbiji anayemaliza muda wake, Felipe Nyusi, ameonya kuwa vurugu zozote za kisiasa zitachukuliwa kama vitendo vya kihalifu, wakati… Read more “Msumbiji: Mamlaka yawaonya wanaopanga maandamano kupinga matokeo ya uchaguzi”

October 24, 2024 by CantonaDigital

Afrika Leo Jioni-21-10-2024

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Muhtasari Mashambulizi ya Israel: Tunachokijua kufikia sasa Baada ya wimbi la mashambulizi ya Israel kuzikumba benki zenye uhusiano na Hezbollah… Read more “Afrika Leo Jioni-21-10-2024”

October 21, 2024 by CantonaDigital

Naibu rais wa Kenya aliyetimuliwa anadai kutishiwa maisha

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Naibu Rais wa Kenya aliyetimuliwa Rigathi Gachagua amedai kulikuwa na majaribio mawili ya kumuua bila mafanikio mwishoni mwa Agosti na… Read more “Naibu rais wa Kenya aliyetimuliwa anadai kutishiwa maisha”

October 21, 2024October 21, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...