Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: mahusiano

Nigeria yaonya raia wake kutosafiri kwenda Australia juu ya hatari ya “ubaguzi”

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nigeria inajibu baada ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Australia kutoa onyo ikiwashauri vikali raia wake kutosafiri katika nchi… Read more “Nigeria yaonya raia wake kutosafiri kwenda Australia juu ya hatari ya “ubaguzi””

January 2, 2025 by CantonaDigital

DR Congo: Tshisekedi atangaza msamaha wa rais kwa wafungwa.

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa DRC Félix Tshisekedi, ametangaza msamaha kwa wafungwa mbalimbali, lakini haijafahamika iwapo wafungwa wa kisiasa wa kutoka vyama vya… Read more “DR Congo: Tshisekedi atangaza msamaha wa rais kwa wafungwa.”

January 2, 2025 by CantonaDigital

Faida 5 kuu za kiafya za parachichi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kuanzia kwenye juisi ya parachichi mpaka kula kama tunda mara nyingi tunda hili linajulikana kama chakula chenye afya. Mtaalamu wa… Read more “Faida 5 kuu za kiafya za parachichi”

January 1, 2025 by CantonaDigital

Faida 5 za kiafya za Biringanya

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa 22 Disemba 2022 Biringanya ni moja ya vyakula ambavyo ni maarufu sana katika jamii nyingi ulimwenguni. Hupikwa kama mboga katika… Read more “Faida 5 za kiafya za Biringanya”

January 1, 2025 by CantonaDigital

Ivory Coast yatangaza kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa katika taifa hilo la Afrika Magharibi

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ivory Coast imetangaza kuwa wanajeshi wa Ufaransa wataondoka katika taifa hilo la Afrika Magharibi, na hivyo kupunguza zaidi ushawishi wa… Read more “Ivory Coast yatangaza kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa katika taifa hilo la Afrika Magharibi”

January 1, 2025 by CantonaDigital

Macron: 2025, Wafaransa wanapaswa kuwa na uwezo wa ‘kutatua baadhi ya maswala yenye maamuzi’

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amelihutubia taifa akiwatakia WafaransaHeri ya Mwaka Mpya wa 2025. Hotuba hiyo ameitoa saa 2:00 usiku… Read more “Macron: 2025, Wafaransa wanapaswa kuwa na uwezo wa ‘kutatua baadhi ya maswala yenye maamuzi’”

January 1, 2025 by CantonaDigital

Angelina Jolie na Brad Pitt wafikia makubaliano ya talaka baada ya vita vya miaka minane mahakamani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Nyota wa Hollywood Angelina Jolie na Brad Pitt wamefikia makubaliano ya talaka baada ya miaka minane, wakili wake ameviambia vyombo… Read more “Angelina Jolie na Brad Pitt wafikia makubaliano ya talaka baada ya vita vya miaka minane mahakamani”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Vita vya Israel-Gaza: ‘Mfumo wa afya ulioharibiwa’, afya ya wakazi wa Gaza iko hatarini

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Ufaransa inalaani mashambulizi ya Israel kwenye hospitali za Gaza kufuatia shambulizi dhidi ya Kamal Adwan kaskazini mwa eneo hilo mwishoni… Read more “Vita vya Israel-Gaza: ‘Mfumo wa afya ulioharibiwa’, afya ya wakazi wa Gaza iko hatarini”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Korea Kusini: Mahakama yatoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Mahakama ya Korea Kusini imetoa kibali cha kukamatwa kwa Rais aliyepinduliwa Yoon Suk Yeol kwa jaribio lake lisilofanikiwa la kuweka… Read more “Korea Kusini: Mahakama yatoa hati ya kukamatwa kwa rais aliyetimuliwa Yoon”

December 31, 2024 by CantonaDigital

Serge Atlaoui aliyehukumiwa kifo nchini Indonesia, Ufaransa yadai rasmi arejeshwe nyumbani

Radio Fortune Africa -Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Kwa miaka kumi na minane, Serge Atlaoui ameishi kwenye orodha ya wafungwa wanaotakiwa kunyongwa. Mfaransa huyu mwenye umri wa miaka… Read more “Serge Atlaoui aliyehukumiwa kifo nchini Indonesia, Ufaransa yadai rasmi arejeshwe nyumbani”

December 28, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Older posts
Newer posts
Blog at WordPress.com.
cantonadigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar
 

Loading Comments...