Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: lamu

Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.

Na Cantona Joseph https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa KUVUNJA baraza la mawaziri bado hakujaridhisha Gen Z na itabidi Rais William Ruto atakeleze mabadiliko katika idara ya… Read more “Shinikizo zaidi kutoka kwa Wana rika wa Gen z Nchini Kenya.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.

Afrika Leo Asubui-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph Mke wa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amewashutumu maafisa wakuu wa jeshi kwa kujaribu kupanga mapinduzi dhidi ya… Read more “Mke wa waziri mkuu wa Israeli aonya wakuu wa Jeshi kwa mpango wa mapinduzi.”

June 26, 2024 by CantonaDigital

Sehemu ya Bunge ya Seneti Nchini Kenya imeteketezwa.

Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph SEHEMU ya Bunge la Seneti imeteketezwa Jumanne, Juni 25, 2024 na kundi la vijana kufuatia maandamano yanayoendelea maeneo tofauti… Read more “Sehemu ya Bunge ya Seneti Nchini Kenya imeteketezwa.”

June 25, 2024 by CantonaDigital

Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.

Afrika Leo Jioni-Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph KINARA wa Azimio la Umoja, Bw Raila Odinga ameelezea kusikitishwa kwake na visa vya mauaji ya vijana yanayotajwa kutekelezwa… Read more “Raila Odinga asikitishwa na visa vya mauaji vijana wandaamanaji na polisi.”

June 25, 2024 by CantonaDigital

Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.

Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”

June 21, 2024 by CantonaDigital

Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.

Picha:Radio Fortune Africa. KAMPUNI ya Umeme Kenya (KPLC) imetangaza kuwa wateja hawataweza kulipia au kununua umeme pamoja na kupokea huduma nyingine kuanzia Jumapili hii hadi Jumatatu ijayo.… Read more “Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.”

May 28, 2024 by CantonaDigital

Posts navigation

Newer posts
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar