Afrika Leo Mchana-Radio Fortune Africa . Na Cantona Joseph,Juni 21,2024. Vijana wa Kenya waliingia barabarani katika jiji kuu la Nairobi kupinga msururu wa ushuru mpya katika Muswada… Read more “Nguvu ya Gen Z? Vijana waandamanaji wakilazimisha mabadiliko ushuru Kenya.”
Tag: kwale
Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 Kenya: Maandamano dhidi ya muswada tata wa fedha yaendelea Waandamanaji mjini Nairobi wamesema wataelekea kwenye ukumbi wa Bunge la Taifa huku kukiwa na… Read more “Mswada Nchini Kenya waleta kimbiakimbia miji tofauti.”
Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.
Na Cantona Joseph:Juni 20,2024 WITO wa kudumisha shinikizo za kisiasa ili mabadiliko zaidi yafanyiwe Mswada wa Fedha wa 2024 ni miongoni mwa sababu zilizofanya upinzani kukataa kuidhinisha… Read more “Mabadiliko zaidi katika mswada wa fedha Nchini Kenya wasititizwa.”
Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka
Chama tawala wa ANC kimepata asilimia 40 ya kura, tofauti na asilimia 57.5 katika uchaguzi wa mwaka 2019. Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amewahi kupinga wazo… Read more “Uchaguzi Afrika Kusini ANC yajiandaa kugawana madaraka”
President Ruto to engage 3 Governors on sale and challenges of Muguka
President William Ruto of Kenya engaged the governors of Mombasa, Kilifi and Taita-Taveta counties on their concerns and challenges in the sale of muguka. Picture:StateHouse Nairobi Governors… Read more “President Ruto to engage 3 Governors on sale and challenges of Muguka”
Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.
Picha:Radio Fortune Africa. KAMPUNI ya Umeme Kenya (KPLC) imetangaza kuwa wateja hawataweza kulipia au kununua umeme pamoja na kupokea huduma nyingine kuanzia Jumapili hii hadi Jumatatu ijayo.… Read more “Nunueni Token Kenya Power yatoa taarifa Nchini Kenya.”
Mji wazima Tanariver Nchini Jua linapotua.
Picha:Radio Fortune Africa MJI wa Madogo, ambao ni wa pekee katika Kaunti ya Tana River ambapo biashara zimekuwa zikiendelezwa kwa muda wa saa 24, sasa huzima pindi… Read more “Mji wazima Tanariver Nchini Jua linapotua.”