Skip to content
cantonadigital

cantonadigital

Tag: kisii

Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Maombolezo 3:31-33 Kwa kuwa Bwana hatamtupa mtuHata milele.Maana ajapomhuzunisha atamrehemu,Kwa kadiri ya wingi wa huruma zake.Maana moyo wake hapendi kuwatesa wanadamu.Wala kuwahuzunisha. Nimehimizwa moyoni sana kuandika… Read more “Jiandae kwa kipindi Cha Matumaini-Hii Ni Idhaa Ya Kiswahili Radio Fortune Africa.”

July 26, 2024 by CantonaDigital

Habari za Afrika Leo Mchana.

Radio Fortune Africa -Afrika Leo Mchana https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Natumai U Buheri wa Afya Popote pale Duniani,Karibu Katika Afrika Leo Mchana Jina Langu Cantona Joseph Moja kwa moja,Netanyahu atetea… Read more “Habari za Afrika Leo Mchana.”

July 25, 2024 by CantonaDigital

Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph KATIBU katika Wizara ya Leba na Ulinzi wa Jamii, Bw Joseph Motari amesema kuwa serikali inaendelea kuimarisha mikakati kukomesha ukatili… Read more “Mikakati Kukomeshwa ukatili wa watoto Nchini Kenya.”

July 19, 2024 by CantonaDigital

Wimbi Jipya la Maandamano Nchini Kenya.

Radio Fortune Africa https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph RAIS William Ruto ameonekana kurejelea shughuli na hulka yake ya kawaida huku vijana wakiendeleza wimbi jipya la maandamano ya kupinga… Read more “Wimbi Jipya la Maandamano Nchini Kenya.”

July 18, 2024 by CantonaDigital

Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.

Radio Fortune Africa -Uchumi Na Biashara. https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph SHILINGI ya Kenya ilisalia thabiti wiki jana dhidi ya dola, ikichochewa na mapato kutoka kwa sekta ya… Read more “Shilingi ya Kenya ingali dhabiti dhidi ya dola ya Marekani.”

July 17, 2024 by CantonaDigital

Empowerment Mathematics.

Radio Fortune Africa -Bao La Asubui https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph NUSU YA MWAKA ILIYOBAKIA FANYA HAYA Karibuni tena kwenye life wisdom series. Ni wengi sana tulioanza nao… Read more “Empowerment Mathematics.”

July 16, 2024 by CantonaDigital

Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.

https://zeno.fm/radio/radio-fortune-africa Na Cantona Joseph -Radio Fortune Africa #AfrikaLeoJioni INSPEKTA Jenerali wa polisi Japhet Koome amezidiwa na presha kutoka wa umma na kujiuzulu, Rais William Ruto ametangaza. Msemaji… Read more “Inspekta mkuu wa Jeshi la polisi Nchini Kenya ajiuzulu.”

July 12, 2024 by CantonaDigital

Rais Ruto wa Kenya aombwa na Maskofu Katoliki kutotia saini mswada tata wa fedha.

Afrika Leo Jioni -Radio Fortune Africa Na Cantona Joseph MAASKOFU wa Kanisa Katoliki Nchini wamemhimiza Rais William Ruto kutotia saini Mswada wa Fedha wa 2024 ili kutoa… Read more “Rais Ruto wa Kenya aombwa na Maskofu Katoliki kutotia saini mswada tata wa fedha.”

June 25, 2024 by CantonaDigital
Blog at WordPress.com.
Privacy & Cookies: This site uses cookies. By continuing to use this website, you agree to their use.
To find out more, including how to control cookies, see here: Cookie Policy
  • Subscribe Subscribed
    • cantonadigital
    • Join 31 other subscribers
    • Already have a WordPress.com account? Log in now.
    • cantonadigital
    • Subscribe Subscribed
    • Sign up
    • Log in
    • Report this content
    • View site in Reader
    • Manage subscriptions
    • Collapse this bar